Mleta sledi kataja walembo tu, nashangaa na jina asplin limetajwa...au asplin ni mlembo mpya hapa JF? Babu asprin acha kupaniki.....labda siyo wewe!
Asante dada kwa kutoa utata.Hivi anga izi ni wanaume tu ndio wana ubavu kuwa open and transaprent??
Sad isnt it? L_C_P is a mdada......
We unataka nizimie wanaume?Una ugonjwa, Kama siyo udhaifu, wa kuzimikia wanawake, halafu unaichomekamo MMU Kama kisingizio tu. Nani alkwambia Mmu ni ya wanawake pekee?
Bora King'asti ulivyomjibu huyu kumtuliza mzuka anataka niwasifu wanaume wenzangu kwa lipi hasa? Na yeye asubiri wamsifie kinadada.Achana nae. Najiandaa kukuanzishia thread ya kukuzimia soon, usije ukaniangusha basi manake mikaeli atafurahi kweli. Una bluetooth?
Kweli mkuu punguza! si umeona dogo kamuanzishia uzi binti yako Cantalisia alivyoona dingi nae anafuatilia thread! kakimbia hata jibu hakuchukua. angalia usije kudoda nao.Kumbe mie mkali kwa wanangu, ngoja nipunguze kidogo maana huyu mwanangu Cantalisia ataniletea noumer kwa mama Ngina..........
Si mnajua mabinti wa siku hizi ni Bumper to Bumper
Respect dada Husninyo binti Mtambuzi.Mapendo yadumu milele. Kupendana si dhambi, sidhani kama umemkwaza mtu.
Huyooooooooooo! Huna lolote wewe Hunanhuuu?Mleta sledi kataja walembo tu, nashangaa na jina asplin limetajwa...au asplin ni mlembo mpya hapa JF? Babu asprin acha kupaniki.....labda siyo wewe!
Ndio kazi yao! hiyooo!Yaani umekuwa goigoi mpaka INNOVATOR kakusaidi kuedit title...dah, haya bana!!
Aminia firstLady1,Dr ndio mtabibu wangu! tuko pamoja mkuu.Asante sana Michael Scofield
Msalimie Dr.Sara
Sizinga,
Tukiendelea kuiacha hii tabia inakomaa:
Sledi=sredi
Walembo=Warembo
Asplin=Asprin
Mlembo=Mrembo
Unakimbilia wapi Rejao??
Aminia firstLady1,Dr ndio mtabibu wangu! tuko pamoja mkuu.Asante sana Michael Scofield
Msalimie Dr.Sara
Tuko pamoja BADILI TABIA hata wewe Unakimbiza! Nawapenda wote dadas humu MMUavatar za google zimekudanganya wewe,
Ni mtazamo tu! kama haikuhusu ipotezee au "PITA" Haina kubeza, Waacheni wajione michael anawaangalia kwa mtazamo gani.
AshaDii: Aunt heshima yako! Naomba urudishe shungi vidume vishaanza kutokwa udenda!
Afrodenz: Designer! nakukubali mrembo Jicho kama umekula kungu manga lainiiiiiiii.
Amyner: Mrembo uko poa kama ulivyo. September baby!!!
Black Womani: Black beautifuly
Cantalisia: Binti Mtambuzi uko poaa! Dogo katangaza nia kaishia mitini, Baba mkwe mkali
Da Pretty: Uko poa dada, Ila mtu kama yuko kwa nyuma yako basi anafaidi.
Firstlady: Jicho na mdomo aaaaah Mashaalah.
Kabakabana: Uko bombaa! mpaka unatishia usalama wa Mwali
King'asti: Uko poa mtu wangu sema leo umerusha stimu! jibu hapa
Kipipi: Nambie mtoto wa kisukuma tupe kwa mbele sura tuione vizuri.
Kisukari Kama jina lako lilivyo, na huo mkono kama warusha kiss kwa mtu
Lizzy: Jimama la Unga LTD vipi kwemaa!?
Mwali: Hivyohivyo mama naona mtakatifu kaamua kukufunua shungi. Uko bomba! akugusi mtu.
Mamndenyi: Huyo bibi hapo anatuziba hatukuoni vizuri.
Mrembo by Nature: Hi
MwanajamiiOne: Jicho lako dada wee!
Preta: Aaa una macho laini mazuuriiiiii
Russian Roulette: Mmh Usinipige Ban mkuu, Hicho kifua kinamtoa udenda babu Asplini, Uko bomba mbaya.
Smile: Oooh! Pole mrembo endelea kumuuguza mama yetu.
Twande: Na wewe mtata mdadisi mpaka basi kwa baba mkwe Mtambuzi.
Jamani kama nimemkwaza mtu anisamehe, kwangu ni amani nawapenda wote members wenzangu!
Matola hapa usiingie kichwa kichwa mie sio dogo kwa taarifa yako, Usinifananishe na wanafunzi wa shule za kata! mziki mzito niite Brotherkaka.Ukiona Avatar hii basi ujuwe huyo ni Matola! watch out kijana. vipi shule zinafunguliwa lini?
Asprin (siyo Asplin) mimi ni kidume na Kongosho ni demu wangu.
Baba mkwe mwenyewe nae hajatulia anapishana mabega na wakwe zake! Sema nawakubali mabinti zake kama mngekuwa legelege huyu dingi angewasumbua sana! mkomalieni hivyohivyo.baba mkwe mkali ila ndio hivo tena itafika siku itabidi akubali matokeo lol!!!!
Matola hapa usiingie kichwa kichwa mie sio dogo kwa taarifa yako, Usinifananishe na wanafunzi wa shule za kata! mziki mzito niite Brotherkaka.
Huyu saizi yetu tunamudu kwa sana tu,hili hata yeye analijua akizingua tu tunamharibia kwa maza coz story zake ni vimeo tupu na hawezi kuzitolea maelezo kwa maza!!Baba mkwe mwenyewe nae hajatulia anapishana mabega na wakwe zake! Sema nawakubali mabinti zake kama mngekuwa legelege huyu dingi angewasumbua sana! mkomalieni hivyohivyo.
Kumbe ndio maana unagombanaga nakina ritz na Rejeao. Hii ID kwa ajili ya MMU kijana naomba kwanza urudi kule Jukwaa la siasa, nyie ndio mnawasababishia ban kina FF kila siku.Join Date : 9th January 2012
Tuko pamoja BADILI TABIA hata wewe Unakimbiza! Nawapenda wote dadas humu MMU
Mie nimependa avatar, narudia tena kwa vidume vilivyoona wivu, nimesifia avatar za kina dada wa humu MMU tu, Kwani hata wewe sidhani kama utapenda taswira yako muonekano wake kwa watu uwe mbaya, nami kwa hisia hizo najua asilimia 80 ya dadas humu MMU ni warembo kama avatar zao zinavyowawakilisha.