Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
- Thread starter
- #101
Haumuoni yuko down hapo tangu morning anafuatilia! mkandie uone balaa lako...LOLTatizo ukiwasifia sana wanalewa na hizo sifa. Mimi namsubiri jimama aje nimsikie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haumuoni yuko down hapo tangu morning anafuatilia! mkandie uone balaa lako...LOLTatizo ukiwasifia sana wanalewa na hizo sifa. Mimi namsubiri jimama aje nimsikie
Hamna tofauti yoyote..CCM ni CCM tu!CCM ipi ya Nyerere au ya kikwete? maana CCM zinatofautiana mkuu
Ushamba mwingine ni mzigo kuliko zigo la misumali.
Huyu ni mmoja wa wamiliki wa JF, ina maana nyinyi vilaza huyu nyinyi ni maboss zake!!??
Hamna tofauti yoyote..CCM ni CCM tu!
User Name: MatolaUshamba mwingine ni mzigo kuliko zigo la misumali.
Huyu ni mmoja wa wamiliki wa JF, ina maana nyinyi vilaza huyu nyinyi ni maboss zake!!??
[h=1]W. J. Malecela![]()
JF Senior Expert Member
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
[/h]![]()
![]()
Add as Friend
Send Private Message
Add to Ignore List
User Notes (0)
Find latest posts
Find latest started threads
Likes Received (925)
Likes Given (1026)
Join Date 15th March 2009 Last Activity Yesterday 16:32 Avatar![]()
Hivi wewe Matola na bahadhi ya wenzio kila mtu mkiwa kwenye majadiliano, unaweka join date..... Haina maana yoyote.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:focus:
Wanalipwa per post a day, na kuna superviser wao anaekaguwa post walizopost, so no wonder MMU kugeuzwa kuwa politics wanaongeza quantity!Mkuu umepotea njia unaleta sihasa kwenye jukwaa la MMU
pamoja na upara kumbe we mtoto wa juzi, huwezi linganisha CCM ya Mwalimu na CCM ya magamba mkuu?Hamna tofauti yoyote..CCM ni CCM tu!
Hamna tofauti yoyote..CCM ni CCM tu!
Wanalipwa per post a day, na kuna superviser wao anaekaguwa post walizopost, so no wonder MMU kugeuzwa kuwa politics wanaongeza quantity!
Well nachangia sana JF lakini bado sijaamuwa kuwa Premium Member wa JF, haya ni maamuzi yangu binafsi, mimi ni premium Member wa sehemu nyingi tu lakini sijaamuwa kuwa JF Premium member. nadhani ili kukata kiu yako, chunguza kwa makini ID yangu utaiona imekuwa Premium member na nitaiondowa ili uridhike na nafsi yako.Hivi wewe Matola na bahadhi ya wenzio kila mtu mkiwa kwenye majadiliano, unaweka join date..... Haina maana yoyote.
Wewe ni muda mrefu humu Unahabarika, JF inakuhabarisha jiulize, Umeifanyia nini JF zaidi ya yenyewe kukufanya uhabarike?
1. No comment
2. No comment
3. No comment (hasa hapo kwenye 'maujuzi'
hatuwezi kuchakachua mada yako mkuu, ila ni mawazo tu ambayo yanakuja pasipo kutarajiaNawaomba msinichakachulie mada yangu please kama vipi kuna jukwaa husika chondechonde wandugu.
pls wote wamekataa kunitaja naomba basi wewe personaly unitaje kuwa ni namba wani wako.hahahah...lol! Kumbe kuna njia nyingi sana za kumnyamazisha mtu?
Nimependa sana ulivyomalizia..hope hataingia tena kwenye anga zako!
Hapana mkuu siunajua masharti ya JF, kama mjadala unaoendelea ni tofauti na mada husika topic inaweza ikaondolewa!hatuwezi kuchakachua mada yako mkuu, ila ni mawazo tu ambayo yanakuja pasipo kutarajia
na ukiona hivyo ujue mada imesha expaire. labda ungetoa expaire date
Tatizo haujaweka avatar!pls wote wamekataa kunitaja naomba basi wewe personaly unitaje kuwa ni namba wani wako.