Nawapenda Hawa Wadada/Wanawake MMU-Members 20 Bora.

Kwenye warembo uliowasifia na mimi nimo, mwenzako nina jinsia mbili hapa JF, ndio maana saa nyingine najichanganya nacomment kama mwanaume wakati natumia ID yangu ya kike!!
 
Mamndenyi na Afrodenzi.............mungu kwajaalia kuwajali wengine........I hope this your real life character!
AshaDii , RussianRoullete.........sijui nimepatia spelling.............kauli zenu zisizotafutafuna maneno na utayari wenu kutoa msaada na kuasa!
Husninyo, Ndeonasiae, Mwanajamii.............Daima marafiki.........
Liz, Cantalisia...........Critical thinkers...lazima nirudie kusoma post zenu

But wapi Theodora, Nyamayao na Firstlady?
 
Mleta sledi kataja walembo tu, nashangaa na jina asplin limetajwa...au asplin ni mlembo mpya hapa JF? Babu asprin acha kupaniki.....labda siyo wewe!

CCM OYEEEEEE! Huna swaga wewe!
 
Kwenye warembo uliowasifia na mimi nimo, mwenzako nina jinsia mbili hapa JF, ndio maana saa nyingine najichanganya nacomment kama mwanaume wakati natumia ID yangu ya kike!!
Ueleweke tu mbona mwenzio Kongosho kajiweka wazi! kwahiyo na wewe "SHEMALE"
 
Asante sana masikini Jeuri,
Ubarikiwe sana mkuu!!!
 
Taabu kweli kweli!! Ngoja nione mabinti wanavyojikanyaga na sifa ulizowapa
Mkuu kwani haujui mwanamke yake sifa? Hii ni haki ya mwanamke, Kuna uzi uliletwa na mdada humu mumewe hamsifii!
 
Hahahah...lol! Kumbe kuna njia nyingi sana za kumnyamazisha mtu?
Nimependa sana ulivyomalizia..hope hataingia tena kwenye anga zako!
 
nipo Maskini _Jeuri nasoma tu mambo ya nyakati
Nimeshamtafuta sana Nyamayao sijui wapi alipo
mawasiliano yake yote yako offline
 
CCM OYEEEEEE! Huna swaga wewe!
Bila CCM ungekuwa hapo ulipo? Kwa taarifa yako hata hii JF ni ya...
Ndio maana yule babu wa karatu kajidai kukimbia huku kwenda kuanzisha forum yake! Shame on him!
 
Bila CCM ungekuwa hapo ulipo? Kwa taarifa yako hata hii JF ni ya...
Ndio maana yule babu wa karatu kajidai kukimbia huku kwenda kuanzisha forum yake! Shame on him!
CCM ipi ya Nyerere au ya kikwete? maana CCM zinatofautiana mkuu
 
Hahahah...lol! Kumbe kuna njia nyingi sana za kumnyamazisha mtu?
Nimependa sana ulivyomalizia..hope hataingia tena kwenye anga zako!
Ushamba mwingine ni mzigo kuliko zigo la misumali.
Huyu ni mmoja wa wamiliki wa JF, ina maana nyinyi vilaza huyu nyinyi ni maboss zake!!??

[h=1]W. J. Malecela

JF Senior Expert Member
[/h]

Join Date 15th March 2009 Last Activity Yesterday 16:32 Avatar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…