Nawapenda Hawa Wadada/Wanawake MMU-Members 20 Bora.

Ushamba mwingine ni mzigo kuliko zigo la misumali.
Huyu ni mmoja wa wamiliki wa JF, ina maana nyinyi vilaza huyu nyinyi ni maboss zake!!??

Hauna lolote wewe ni bahili wezesha JF, Tusilingishiane umejoin lini na lini?
Mkono mtupu haulambwi! Rejao ni big kwako.
 
User Name: Matola
User Title: JF Senior Expert Member
Utakuwa na matatizo wewe. Nina wasiwai kuwa wewe si mzima.
Let's get back to the topic
 
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:focus:
Hivi wewe Matola na bahadhi ya wenzio kila mtu mkiwa kwenye majadiliano, unaweka join date..... Haina maana yoyote.
Wewe ni muda mrefu humu Unahabarika, JF inakuhabarisha jiulize, Umeifanyia nini JF zaidi ya yenyewe kukufanya uhabarike?
 
Wanalipwa per post a day, na kuna superviser wao anaekaguwa post walizopost, so no wonder MMU kugeuzwa kuwa politics wanaongeza quantity!

Hivyo vijamaa ni viganga njaa tu, havina lolote
 
Hivi wewe Matola na bahadhi ya wenzio kila mtu mkiwa kwenye majadiliano, unaweka join date..... Haina maana yoyote.
Wewe ni muda mrefu humu Unahabarika, JF inakuhabarisha jiulize, Umeifanyia nini JF zaidi ya yenyewe kukufanya uhabarike?
Well nachangia sana JF lakini bado sijaamuwa kuwa Premium Member wa JF, haya ni maamuzi yangu binafsi, mimi ni premium Member wa sehemu nyingi tu lakini sijaamuwa kuwa JF Premium member. nadhani ili kukata kiu yako, chunguza kwa makini ID yangu utaiona imekuwa Premium member na nitaiondowa ili uridhike na nafsi yako.
 
Nawaomba msinichakachulie mada yangu please kama vipi kuna jukwaa husika chondechonde wandugu.
 
Nawaomba msinichakachulie mada yangu please kama vipi kuna jukwaa husika chondechonde wandugu.
hatuwezi kuchakachua mada yako mkuu, ila ni mawazo tu ambayo yanakuja pasipo kutarajia
na ukiona hivyo ujue mada imesha expaire. labda ungetoa expaire date
 
hahahah...lol! Kumbe kuna njia nyingi sana za kumnyamazisha mtu?
Nimependa sana ulivyomalizia..hope hataingia tena kwenye anga zako!
pls wote wamekataa kunitaja naomba basi wewe personaly unitaje kuwa ni namba wani wako.
 
hatuwezi kuchakachua mada yako mkuu, ila ni mawazo tu ambayo yanakuja pasipo kutarajia
na ukiona hivyo ujue mada imesha expaire. labda ungetoa expaire date
Hapana mkuu siunajua masharti ya JF, kama mjadala unaoendelea ni tofauti na mada husika topic inaweza ikaondolewa!

Sasa kama sijatoa tahadhari mkuu inakuwaje? na hapa bado kuna watu wanahitaji kuja kuperuzz ili waje watoe michango yao! siunajua watu wanatafuta riziki kwanza ndio waje wafungue JF-MMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…