Ninacho kupendea dada yangu huwa humung'unyi maandishi mtu aweke mpunga mezani na sio kuremba.
Muone bichwa lako[emoji12]Kale kasura na umbo bado navikumbuka, so lovely[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Muone bichwa lako kama bofu la mkate[emoji12]Kale kasura na umbo bado navikumbuka, so lovely[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na kweli ninalo bichwa kama boflo[emoji12]Muone bichwa lako kama bofu la mkate[emoji12]
Chizuri[emoji12]Na kweli ninalo bichwa kama boflo[emoji12]
Yaah koleo ita kolea hapo ndipo hukupendea.kumung'unya maneno nawaachia watoto.
Naomba dawa ya kumshusha mtu busha mkuuHapana mke wa mtu halafu jamaa kijeba fulani halafu gangwe sana..
Sijui lei itakuwaje
Naomba dawa ya kumshusha mtu busha mkuu
Kwani wewe hupendi pesa?!Hivi tulishawaomba hela jamani mbona hivi
Na wewe hupendi pesa????Kwani wewe hupendi pesa?!
Mimi napenda KUTAFUTA pesa.Na wewe hupendi pesa????
Mie napenda KUTUMIA pesa...hakika mie na wewe tunamatch sana, pm yako ipo wazi au umeweka kakufuli?kuna mambo nikueleze kuhusu hii serikali yetuMimi napenda KUTAFUTA pesa.
Naona kuna watu wanataka kusummary maisha yao...Douta ameshakua..Basi ni balaa sasasweet darling huku umefikaje lakini? umeona jinsi Heaven Sent alivyokuwa ananikomentia hapo juu!! Huyu mtoto kanishinda tabia.
Wala usije utaniua.....Mie napenda KUTUMIA pesa...hakika mie na wewe tunamatch sana, pm yako ipo wazi au umeweka kakufuli?kuna mambo nikueleze kuhusu hii serikali yetu
Nilisema hapa hawa wadada wana sifa moja inayofanana.....wanapenda pesa balaa!yaani atume tu mpesa aone anavyopendwa. nimekumisimo.
Mie napenda KUTUMIA pesa...hakika mie na wewe tunamatch sana, pm yako ipo wazi au umeweka kakufuli?kuna mambo nikueleze kuhusu hii serikali yetu
Nilisema hapa hawa wadada wana sifa moja inayofanana.....wanapenda pesa balaa!
Mimi napenda KUTAFUTA PESA.kwani we hupendi pesa bwana shemeji?
Wala usije utaniua.....