Nawapenda sana atoto, valentina, Evelyn Salt na Miss Chaga

Nawapenda sana atoto, valentina, Evelyn Salt na Miss Chaga

Msema kweli mpenz wa Mungu....
Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick name sawa, but nataman hawa watu niwaone hata mara moja...maana hisia zangu nahisi warembo balaa, any one amewahi kuwaona anitoe mawazoni, pengine sio attractive aniambie, nisiumie bureeee
Mkuu,naona umepiga counter attack....nakutizama kasi yako jinsi unavyokwenda ku score!
 
Kweli nimeamini kuna watu wanapugia pool avater za watu humu ndani
 
Back
Top Bottom