Ombudsman
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 3,565
- 3,733
Ahaha haiwezekani.Ninao 12 mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaha haiwezekani.Ninao 12 mkuu
Utaanzia wapi? Baunsa wangu mshana yupohahahaaaa!! nakuchapaaa!!
Kwanini?Ahaha haiwezekani.
Val...anaonekana mtam ile mbaya.Katika wote hao ulio wataja physicaly, mpole, mkarimu na charming sana ni Val....... Hao wengine sina data.
Mkuu,naona umepiga counter attack....nakutizama kasi yako jinsi unavyokwenda ku score!Msema kweli mpenz wa Mungu....
Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick name sawa, but nataman hawa watu niwaone hata mara moja...maana hisia zangu nahisi warembo balaa, any one amewahi kuwaona anitoe mawazoni, pengine sio attractive aniambie, nisiumie bureeee
Utaanzia wapi? Baunsa wangu mshana yupo
[emoji123] [emoji123] [emoji123]Utaanzia wapi? Baunsa wangu mshana yupo
Ngoja nijipange upya ili nije pm,maana mimi cna hela,sound tu ndio nyingiSipati salamu zako mkuu pole
Tafuta hela kwanzaNgoja nijipange upya ili nije pm,maana mimi cna hela,sound tu ndio nyingi
Magu anakaba hadi penalti mkuuTafuta hela kwanza
Ubuyu...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hahaaaa!! shee mbona hivyo bwana!!
Chomoa upate kituMagu anakaba hadi penalti mkuu
Ninchomoe tena[emoji39]Chomoa upate kitu
Ninacho kupendea dada yangu huwa humung'unyi maandishi mtu aweke mpunga mezani na sio kuremba.sio nyingi saaana ila ziwe nyingiiiiii.
NdiyoNinchomoe tena[emoji39]
Doh[emoji4]Ndiyo
Kale kasura na umbo bado navikumbuka, so lovely[emoji125] [emoji125] [emoji125]Hapo najua umesema kinyume[emoji12] nyume