Si hadi upewe sasa....
Mjaribu mwisho wa mwezi..! tarehe 27/6/2016Nimetoka huko hana pesa
Tunataka na zakoYaani nyie sijui ni ndugu?!!! Na huyo miss chagga yuko mtaa wa tatu huko anawakamua watu hela zao! 🙂🙂🙂
Itakua ukata wa magufuli nao unasababisha kutuchanganyayaani nimeshindwa hata kumshangaa.
We pitaga tu banaMbona povu linakutoka, kwahio sisi inatuhusu nini mapenzi yako na hao watu
Wazo nzuri nitafanya hivyoMjaribu mwisho wa mwezi..! tarehe 27/6/2016
Msalimie diqNimegoma
Sijamsikia mda mrefu .. Yupo kwani?Msalimie diq
Nasubiria mzigo huoEndelea kugoma hivyo hivyo mi nakaribia kumtoza kodi. Akitiki tu nitakutonya tugawane kama walivyoyafanya mavazi ya Yesu mnazareti pale Golgota!
Yupo kama hayupo... Nikajua umemfungia banaSijamsikia mda mrefu .. Yupo kwani?
Amna bana mi nipo huku natafuta pesaYupo kama hayupo... Nikajua umemfungia bana
Pesa @prondo anazo amezikalia tu... Hebu mwambie azitoe kabla hatujamvamiaAmna bana mi nipo huku natafuta pesa
Itakua ukata wa magufuli nao unasababisha kutuchanganya
We RRONDO wewe raha ya pesa matumiziPesa @prondo anazo amezikalia tu... Hebu mwambie azitoe kabla hatujamvamia
ha ha kaka wagumu, mpaka now nakimbizana na upepo apa
Apasukethubutuuu ukimwambia hivyo anapanik hatari, sasa zake sijui anatafuta za nini!!