Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kua kua kwanza ngozi hiyo ikomae kwa kuchunwa.Mnanimaliza , mmoja wenu basi alie serious anichune plz
Mwl huyu atakuwa ni mwanafunzi wako ulikuwa unampa manyanjo sana...Washakusamehe tayari
Teh ntakua nilimpigisha kichura chura na kumuamuru aite mvua hivo bado ananikumbukaMwl huyu atakuwa ni mwanafunzi wako ulikuwa unampa manyanjo sana...
Hahahahaha General Galadudu miss you sana..hata story siku hizi hauleti!Angalia tucje korofishana mkuu maana naona hapo umemtaja na wa kwangu
Kumbe atoto naye ni kisu mkuu Ruttashobolwa ? Embu fanya namna we Bepari nimpate huyo mrembo.
Hahahahaha General Galadudu miss you sana..hata story siku hizi hauleti!
Inshallah nakukabidhi! atoto
Teh Teh hebu mfanye awe gold member halafu mambo mengine niachie mimi!Kumbe atoto naye ni kisu mkuu Ruttashobolwa ? Embu fanya namna we Bepari nimpate huyo mrembo.
Hahahaha mtani nimepitia huu uzi nimegundua una nyota angavu...yani wewe ni wanted..! Teh Teh..Naona mnanigawana tu.
Aaah hilo tu mbona dogo. Kuna kingine anahitaji? Mwambie nipo tayarTeh Teh hebu mfanye awe gold member halafu mambo mengine niachie mimi!
Serious! Fanya mabadiliko ifikapo jioni!Aaah hilo tu mbona dogo. Kuna kingine anahitaji? Mwambie nipo tayar
Mi nakutaka mzimaNaona mnanigawana tu.
Procedure zipoje sasa?Serious! Fanya mabadiliko ifikapo jioni!
Hahahaha mtani nimepitia huu uzi nimegundua una nyota angavu...yani wewe ni wanted..! Teh Teh..
Nimeiona fursa....