Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hapana kabisa mtani mimi hapa nina mmoja tu asali wa moyo wangu ninayempenda sana mtoto wa kizanziberimtani nawe huna unaowatafuta hapa jf au ndo unawatafuta kimyakimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kabisa mtani mimi hapa nina mmoja tu asali wa moyo wangu ninayempenda sana mtoto wa kizanziberimtani nawe huna unaowatafuta hapa jf au ndo unawatafuta kimyakimya
bestito nikadhani wewe unaye unayemtafuta sasa kwanini usitafute kama hao wanavyotafuta hahahahaaaaHapana kabisa mtani mimi hapa nina mmoja tu asali wa moyo wangu ninayempenda sana mtoto wa kizanziberi
Huyu atoshabestito nikadhani wewe unaye unayemtafuta sasa kwanini usitafute kama hao wanavyotafuta hahahahaaaa
huyo asali wa moyo wako ndo nani best
Lazima ulitumia ulonzi kumpata Teh TehHapana kabisa mtani mimi hapa nina mmoja tu asali wa moyo wangu ninayempenda sana mtoto wa kizanziberi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Lazima ulitumia ulonzi kumpata Teh Teh
HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAA NDO MM UMENIPATA BEST UNASEMAJENamtafuta ladyfurahia Ndio wewe hapo
You can say it againHuyu atosha
Mamaa Angel Nylon [emoji7] [emoji8] [emoji85] penda sana yeye
Sasa kumbe tupende nini?Kuna watu wanapenda miamala kama hawa?yaani wana udugu wa damu na nduguzao hawa m-pesa na yule mwingine tigo pesa achilia mbali airtel money ni mjomba wao.Kizuri hawafichi mahaba yao kwa nduguzao hao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3]You can say it again
[emoji57] [emoji57][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji8] [emoji7] [emoji85][emoji57] [emoji57]
Mtupende na sisi sio pesa tuSasa kumbe tupende nini?
Tunawapenda,mkitugawia hela tunawapenda zaidiMtupende na sisi sio pesa tu
[emoji87] [emoji87] [emoji87]Sasa kumbe tupende nini?
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Tunawapenda,mkitugawia hela tunawapenda zaidi
Basi tutawagea pesa mzidi kutupenda.Tunawapenda,mkitugawia hela tunawapenda zaidi