Nawapenda sana malaya

Nawapenda sana malaya

mimi naona angeelezea vizuri kwa dar wanapitakana wapi ili tuhakikishe ni kweli wapo hatupendi uongo.....!!!!!
aelezee hadi vichochoro na bei zao tukafanye experiment.....

aisee dar ndo ucxeme wapo karibu maeneo yote jaribu kupita pita kwenye maeneo ya starehe ila uwanja wa fisi ucende wale cheap xana, may b jaribu pale mk pub kinondoni, ukishindwa niambie niku2mie namba ya malaya zangu wawili wa huko!
 
cwez kuoa hawa, kwa taarifa 2 nina bahat ya kupendwa na mademu ila mi cwapend i'm just enjoy usin them!

Sijui Nani anaemtumia mwenzake kati yenu. They are using you too because you are not getting free services.

lakini pia naona una kila dalili za kuwa sex maniac na mke hutomuweza asilani, pole zako young man.
 
Last edited by a moderator:
Nina miaka 25 toka nina miaka 16 nimekuwa napenda sana kulala na malaya, kama pesa ipo huwa nawatafuta mpaka niwapate mpaka sasa nimelala na malaya si chini ya 150.

Nakumbuka mwaka jana sehemu flani hapa mbeya nililala na malaya watano kwa usiku mmoja, usiseme kuhusuUKIMWI sababu natumia condom na napima kila baada ya miezi mitatu, still negative.

Kinachonichanganya umri unaenda inanibidi kuoa na sijui nitaachaje sababu nawapenda sana na naenjoy, Mbalizi, Mbozi, Tunduma, Njombe, Makambako, Mafinga, Iringa, Songea, Singida, Dar ndo usiseme nimepita viwanja vyote! Huwa sichoki kufanya mapenzi.

Hivyo viwanja ulivyotaja vinaongoza Tanzania kwa UKIMWI...mdogo wangu, unacheza na kaburi! Makambako, Njombe, Tunduma...una balaa weye!
 
Una kitu cha ziada ndan yako si bure, km sio pepo la ngono bas una jini ww linalopenda wanawake..!!
 
nanukuu toka kwa member mmoja humu..." you need Jesus"
 
Nina miaka 25 toka nina miaka 16 nimekuwa napenda sana kulala na malaya, kama pesa ipo huwa nawatafuta mpaka niwapate mpaka sasa nimelala na malaya si chini ya 150.

Nakumbuka mwaka jana sehemu flani hapa mbeya nililala na malaya watano kwa usiku mmoja, usiseme kuhusuUKIMWI sababu natumia condom na napima kila baada ya miezi mitatu, still negative.

Kinachonichanganya umri unaenda inanibidi kuoa na sijui nitaachaje sababu nawapenda sana na naenjoy, Mbalizi, Mbozi, Tunduma, Njombe, Makambako, Mafinga, Iringa, Songea, Singida, Dar ndo usiseme nimepita viwanja vyote! Huwa sichoki kufanya mapenzi.

Nonsense.
 
Back
Top Bottom