Nawapenda sana na nawatakia jioni njema wanawake wa JamiiForums

Nawapenda sana na nawatakia jioni njema wanawake wa JamiiForums

Nawapenda sana na nawatakieni jioni njema wadada wa Jamiiforums mtag mdada unaempenda na unae mkubali sana mimi nawakubali hawa👇👇 FaizaFoxy
Kasie
Dr Lizzy
Depal dada yangu
Jadda
Kalpana
Unique Flower
Heaven Sent
Mamndenyi
lara 1
miss Gf
Caroline Danzi
AshaDii
Antonnia
cocochanel
miss chagga
Ahsante kwa salamu totoo.. nami nakutakia jioni tulivu, imalizie jioni yako na kikombe cha chai yenye tangawizi 💗💗

Pole kwa heka heka za kutwa..
 
Tatizo wengine vidume humu wanaotembelea upepo wa kujifanya mademu.

Unaweza kuta mmoja wa uliemtag hapo ndio dereva wako wa bodaboda ana account ya kike humu.
Sio kweli🤣🤣
 
Sio kweli🤣🤣
Shauri yako. Utashangaa unaehisi ndio pisi kuliko wote kumbe ni Majanaba wa Arusha.

1697038971122.png
 
Back
Top Bottom