Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #21
🤣🤣🤣Shauri yako. Utashangaa unaehisi ndio pisi kuliko wote kumbe ni Majanaba wa Arusha.
View attachment 2778998
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Shauri yako. Utashangaa unaehisi ndio pisi kuliko wote kumbe ni Majanaba wa Arusha.
View attachment 2778998
Marahaba mtoto mdhuri🤗
Nimekumiss mkuu
Mimi zaidi mama la mamaNimekumiss mkuu
Nafurahi kusikia hivyo mkuu wanguMimi zaidi mama la mama
Mkuu wako 😍Nafurahi kusikia hivyo mkuu wangu
🤣Sio kweli kakaSi ndio tutakuosha, tutakuchimbia kaburi na kukuzika. Hao wanachambua mchele na kugawa menu. Endelea.
Marahaba mtoto mdhuri[emoji847]
Siku hizi una adabu sana nitakupa zawadi [emoji23]
🤣 dk 0 tu kitu kitasomaShikamoo dada[emoji18]
Na mimi namba yangu ni ile ile ya siku zote
Jina lile lileeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawapenda sana na nawatakieni jioni njema wadada wa Jamiiforums mtag mdada unaempenda na unae mkubali sana mimi nawakubali hawa👇👇 FaizaFoxy
Kasie
Dr Lizzy
Depal dada yangu
Jadda
Kalpana
Unique Flower
Heaven Sent
Mamndenyi
lara 1
miss Gf
Caroline Danzi
AshaDii
Antonnia
cocochanel
miss chagga
😂😂
Kulikoni huyu kaadimika hapa JF.lara 1
usitumie nguvu sasa😂Wifi to be 😂😂 @Winnone Good Evening..