usitumie nguvu sasa[emoji23]
unaempenda anampenda mwingine, huyo mwingine nae ana mwingine😂[emoji3][emoji3] na wew kwani unatuonea gere sis mawifi kupendana au
unaempenda anampenda mwingine, huyo mwingine nae ana mwingine[emoji23]
moyo sukuma damu sio mashine[emoji23]
unakuja kwa spidi sana we mtoto😂Kumaanisha nni[emoji2],
“Moyo pambania unachokipenda usikatishwe tamaa na maneno ya bin adam[emoji23] one day you gonna make it[emoji8]”, alf mawifi washakubali watampanga ma mkwe ngoj nijitulize[emoji1551][emoji1551]
DuuShauri yako. Utashangaa unaehisi ndio pisi kuliko wote kumbe ni Majanaba wa Arusha.
View attachment 2778998
unakuja kwa spidi sana we mtoto[emoji23]
Itakuwa alipoteza simuKulikoni huyu kaadimika hapa JF.