Mchoraji Cyper255 JF-Expert Member Joined Nov 21, 2012 Posts 1,780 Reaction score 6,133 Oct 5, 2017 #21 Hance Mtanashati said: Yule Lavalava haendani nao WCB . Click to expand... Kwanini?
M myplusbee JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 3,612 Reaction score 6,158 Oct 5, 2017 #22 Elly Paulo said: Kumbe duniani kupata hela sio mpaka uwe umesoma pekee. Click to expand... Ni wasomi wachache sana wanaopata hela lakini majority wanapeta tujihela! Ndo maana, mwana-bongo flavor wa ngazi ya kati anaweza kupiga 10M/show wakati msomi mwenye bachelor ukiona ameshika 10M kwa mkupuo ambayo ni halali basi ni mkopo wa benki
Elly Paulo said: Kumbe duniani kupata hela sio mpaka uwe umesoma pekee. Click to expand... Ni wasomi wachache sana wanaopata hela lakini majority wanapeta tujihela! Ndo maana, mwana-bongo flavor wa ngazi ya kati anaweza kupiga 10M/show wakati msomi mwenye bachelor ukiona ameshika 10M kwa mkupuo ambayo ni halali basi ni mkopo wa benki