Nawapenda sana vijana wa WCB

Nawapenda sana vijana wa WCB

Kumbe duniani kupata hela sio mpaka uwe umesoma pekee.
Ni wasomi wachache sana wanaopata hela lakini majority wanapeta tujihela! Ndo maana, mwana-bongo flavor wa ngazi ya kati anaweza kupiga 10M/show wakati msomi mwenye bachelor ukiona ameshika 10M kwa mkupuo ambayo ni halali basi ni mkopo wa benki
 
Back
Top Bottom