Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Binafsi nawakubali na kuwapenda sana walimu wangu mlionifundisha mambo anuwai ya Dunia nikaweza kuelimika.Ila nina swali moja hiki chama chenu cha walimu(CWT) kina mchango upi katika changamoto za mwalimu?Kubuni rangi za t-shirt? Binafsi sitapenda mtoto wangu awe mwalimu. Bora tu awe hata dreva boda