Nawapenda sana watoto wa kike ila nina hofu ya kuwa baba wa watoto wa kike, nahisi watakuja kunivunja moyo na kunidisappoint kwa ninayoyaona kwa hiki

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Kwa ninayoyaona mtandaoni na maisha ya uswahilini nimeogopa kuwa na watoto wa kike nahisi watakuja kunidissapoint .

This generation sucks inaleta disappointment sana kuona blunders zinazofanywa na this gender.

Humo Telegram na WhatsApp pamejaa magroup ya watoto wa kike wadogo kiumri wanajiuza, wanafanya mapenzi kinyume, yani vitu vya ajabu.

Nowadays pamezuka clips ambazo zinaoenesha wanafunzi wakiwa kwenye sare wanafanya twerking kama wanafunzi wa South Africa.

Nilitamani sana kuwa na generation kama ya China. China ina watu sawa na bara nzima la Afrika lakini imewadhibiti wote wamenyooka.
 

Kwenye hizo vurugu mechi na mchafukoge hakuna watoto wa kiume?
 
Napenda mtoto wa kiume, na mtoto wangu wa kwanza natamani awe wa kiume, ila nikifikiria malezi ya mtoto wa kiume yalivyo magumu nyakati hizi nachoka kabisa…!!
 
Mtoto wa kike ni mwepesi kukumbuka wazazi na kuwahudumia hatakama ameolewa ila muda mwingine shetani huwavuruga
wakiume
akishikwa masikio huko akawekewa na limbwata msahau
Wengine huende mbali kabisa na mawazo ya lini wazee watakufa ili warithi mali
Cha msingi ni kuwaombea wawe na utashi
Maana kuharibikiwa hakuchagui jinsia
 
Kwanza elewa kwamba binadamu wote hapa duniani tunaishi katikati ya mbwa mbwitu. Jifunze jinsi ya kuishi katikati ya hao mbwa mwitu. Usiogope kama wewe umefanikiwa kuishi salama naamini una njia nyingi za kuwafundisha watoto wako wakaishi kwa amani na uelewa mkubwa katikati ya mbwa mwitu. Usisome haraka haraka.... soma na kuelewa. Maisha lazima yaendeleee, lazima tuzaliane na kukua na kufurahi.
Kuna watu hawajajitia unajisi katikati ya dunia najisi. Pole inawezekana usinielewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…