Nawapenda sana watoto wa kike ila nina hofu ya kuwa baba wa watoto wa kike, nahisi watakuja kunivunja moyo na kunidisappoint kwa ninayoyaona kwa hiki

Nawapenda sana watoto wa kike ila nina hofu ya kuwa baba wa watoto wa kike, nahisi watakuja kunivunja moyo na kunidisappoint kwa ninayoyaona kwa hiki

tukileta statistics za mashoga nchi nzima hata 500 hawafiki sema hua tunapenda kushadadia mambo tu.

kwa africa ni ngumu kua na mashoga kama ulaya
Idadi unaiona ndogo sababu hatokei kwenye familia yako aiseee.
 
Mleta Mada Ameeleza Jambo Kwa Kuzingatia Matakwa yake binafsi katika Masuala ya Familia na kwa experience yake kwenye Ulimwengu wa Mitandao Jambo ambalo ni Ukweli Mtupu.(Vitoto vidogo vinajiuza wazi wazi)

Feminists wamekuja Kujibu mapigo wakihisi wamekuwa Attacked.

Tukisema Ufeminism ni Ufilauni tunaonekana tunatumia maneno makali.
 
Usichoke wala usihofu.....

Muombe Mungu ndie awe mlezi mkuu na wewe jitahidi utakavyoweza hakika utafurahia mno.

Isaya 54:13
Na watoto wako wote watafundishwa na Bwana; na amani ya watoto wako itakuwa nyingi.
Amen 🙏
 
tukileta statistics za mashoga nchi nzima hata 500 hawafiki sema hua tunapenda kushadadia mambo tu.

kwa africa ni ngumu kua na mashoga kama ulaya
Mashoga siku hizi wengi na kuna wengine hawapendi kujitangaza..!!
Hivi unajua kuna wanaume wako kwenye ndoa na wanatafunwa??
Sasa hao utajua vipi idadi yao?
 
nikiona mwanaume mwenzangu kaanza kuzaa watoto wakike nacheka sana.

mtoto wakike anafaa akiwa mdogo tuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣tena uzuri awakute kakazake

laasivyo utaanza kufuga mbwaaaa hahahahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sija research ila now days watoto wa kike ni wengi kuliko wa kiume, kila napo pita lazima watoto wa kike wawa out number wa kiume
 
Pole sana mkuu. Hata mimi nina watoto (4) wa kike

Wa kwanza yupo form 2

Kila nikiwaza kuna njemba zitakuja kuwapiga pipe. Nakosa amani kabisa
Wanapigwa paipu wanazalishwa nyumbani na unakuja kuwalea wajukuuu. Sio mchezo
 
Pole sana mkuu. Hata mimi nina watoto (4) wa kike

Wa kwanza yupo form 2

Kila nikiwaza kuna njemba zitakuja kuwapiga pipe. Nakosa amani kabisa
Umechelewa sana kujua, siku hizi wanachezea PIPE kuanzia LA SITA huko
 
Back
Top Bottom