ni watu wameona mbali kukataa mashindano ya kombe la afrika mashariki kwa timu za taifa kukataa kuandaa mashindano hayo tunangoja majibu ya TFF kama wao watakubali kuandaa kagame cup kama walivyoombwa na mosonye japo yeye alidai kama tff wameshakubali.
cha ajabu eti nchi inayoaandaa itafute wadhamini pesa miaka yote cecafa hela wamepeleka wapi ni kataasisi kaliko undwa kujinufaisha akina mosonye.
nitashangaa J malinzi kukubali mashindano hayo kufanyika hapa nchini