Nawapongeza cha mpira cha Rwanda kukataa kuandaa bonanza la musonye

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
ni watu wameona mbali kukataa mashindano ya kombe la afrika mashariki kwa timu za taifa kukataa kuandaa mashindano hayo tunangoja majibu ya TFF kama wao watakubali kuandaa kagame cup kama walivyoombwa na mosonye japo yeye alidai kama tff wameshakubali.

cha ajabu eti nchi inayoaandaa itafute wadhamini pesa miaka yote cecafa hela wamepeleka wapi ni kataasisi kaliko undwa kujinufaisha akina mosonye.
nitashangaa J malinzi kukubali mashindano hayo kufanyika hapa nchini
 
je malinzi alikataa sasa ?
 
Kitambo aisee huu uzi! ila matatizo ya Cecafa ni yaleyale nadhani ni muda wa kupata viongozi wapya ili walete fikra mpya na ubunifu.
 
Back
Top Bottom