Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Baada ya CHADEMA kujitathimini na kugundua kuwa hawajajiandaa kwa uchaguzi wa wa serikali za mitaa mwaka huu na Kupelekea kujitoa binafsi nawapongeza sana kwani suala la Uchaguzi linahitaji maandalizi na Si Ulaghai ukizingatia wananchi wamekua na uelewa mkubwa Sana.
Watanzania wengi wametambua Juhudi za Mheshimiwa Rais Dk John Pombe Magufuli na Serikali yake iliyofanya makubwa na kutimiza shauku za Watanzania wengi walizokua nazo kwa miongo kadhaa.
Binafsi naipongeza Ngome ya CHADEMA mara baada ya Kujitathimini na kujiona hawatoshi na kujitoa katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wamefanya Forecast ambayo ina Manufaa kwa Nchi.
View attachment 1258654
Hapo unaona umepiga bonge la propaganda. Kweli bado mmebaki na hizi propaganda za kizee ndani ya karne hii?