Nawapongeza CHADEMA na Mbunge mstaafu Mh Selasini kwa kuipendezesha Rombo

Nawapongeza CHADEMA na Mbunge mstaafu Mh Selasini kwa kuipendezesha Rombo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Miongoni mwa mabasi yaliyokuwa yanawika miaka ile ya 80 ni pamoja na Rombo Investments bus.

Kiukweli nimeshuhudia mabadiliko makubwa hapa Rombo na huu ni uthibitisho kuwa maendeleo hayana vyama

Hongereni mbunge mstaafu Mh Selasini, CHADEMA na CCM.

Naendelea ku-enjoy sikukuu za mwisho wa mwaka jioni hii nitakuwa pale Kanisani kwa ajili ya kitubio (ungamo)

Mungu awabariki nyote!
 
Sina hakika kama huwa unapata hata muda wa kuongea na familia yako, muda wote ni kuanzisha threads tu ili mradi tu upo bize na simujanja.
Vile vile hayuko tofauti na wewe maana kila anachopost unakiona.
 
Wilaya ya Kisarawe ilianzishwa siku moja na Nairobi, hadi leo Kisarawe wanakunywa maji ya tope, na barabara hamna. Hawajawahi kuwa na hata balozi wa nyumba kumi kutoka Chadema. Unaliongeleaje hili? Au nikupe mfano wa Jimbo lingine?
Kisarawe kule kwa akina Kingwendu wa CUF?!!
 
Jaffo ndio mbunge usikimbie, kule wanakosa gani hadi muwape maisha ya kimasikini na mateso namna ile?
Kwa sasa Kisarawe kuna uwekezaji mkubwa wa viwanda labda wewe unaizungumzia Kisarawe ya Janguo siyo hii ya Jokate!
 
Kwa sasa Kisarawe kuna uwekezaji mkubwa wa viwanda labda wewe unaizungumzia Kisarawe ya Janguo siyo hii ya Jokate!
Viwanda gani zaidi ya kile kiwanda cha saruji kipo tangu enzi za JK? Vipi kuhusu ukosefu wa maji safi na salama, barabara mbovu, ukosefu wa shule, mimba za utotoni etc? Huyajui yote hayo au tupange siku nikakutembeze?
 
Back
Top Bottom