johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Usisahau kuungama na ile 'dhambi yako pendwa' na weka nadhiri ya kutoitenda tena kwani utakuja kufia nyumba za wageni.Naendelea kuenjoy sikukuu za mwisho wa mwaka jioni hii nitakuwa pale Kanisani kwa ajili ya kitubio ( ungamo)
Mbona wewe hujafia uwanja wa fisi?Usisahau kuungama na ile 'dhambi yako pendwa' na weka nadhiri ya kutoitenda tena kwani utakuja kufia nyumba za wageni.
Chadema wanachelewesha mikoa mingine lakini siyo kwao!Boss wako magumashi anasema eti Chadema wamewachelewesha sana
Wakati unaniona wewe mwenyewe unakuwa busy na mumeo na hao mapacha wenu?Sina hakika kama huwa unapata hata muda wa kuongea na familia yako, muda wote ni kuanzisha threads tu ili mradi tu upo bize na simujanja.
Vile vile hayuko tofauti na wewe maana kila anachopost unakiona.Sina hakika kama huwa unapata hata muda wa kuongea na familia yako, muda wote ni kuanzisha threads tu ili mradi tu upo bize na simujanja.
Wilaya ya Kisarawe ilianzishwa siku moja na Nairobi, hadi leo Kisarawe wanakunywa maji ya tope, na barabara hamna. Hawajawahi kuwa na hata balozi wa nyumba kumi kutoka Chadema. Unaliongeleaje hili? Au nikupe mfano wa Jimbo lingine?Chadema wanachelewesha mikoa mingine lakini siyo kwao!
Kisarawe kule kwa akina Kingwendu wa CUF?!!Wilaya ya Kisarawe ilianzishwa siku moja na Nairobi, hadi leo Kisarawe wanakunywa maji ya tope, na barabara hamna. Hawajawahi kuwa na hata balozi wa nyumba kumi kutoka Chadema. Unaliongeleaje hili? Au nikupe mfano wa Jimbo lingine?
Maendeleo hayana vyama!Nawapongeza wakazi wa kaskazini kwa kujiletea maendeleo, maana ukingoja chama kikuletee maendeleo utakufa masikini.
Jumamosi nitakuwa hapo Machame bwashee!Na utubu kweri-kweri.
Jaffo ndio mbunge usikimbie, kule wanakosa gani hadi muwape maisha ya kimasikini na mateso namna ile?Kisarawe kule kwa akina Kingwendu wa CUF?!!
Kwa sasa Kisarawe kuna uwekezaji mkubwa wa viwanda labda wewe unaizungumzia Kisarawe ya Janguo siyo hii ya Jokate!Jaffo ndio mbunge usikimbie, kule wanakosa gani hadi muwape maisha ya kimasikini na mateso namna ile?
Viwanda gani zaidi ya kile kiwanda cha saruji kipo tangu enzi za JK? Vipi kuhusu ukosefu wa maji safi na salama, barabara mbovu, ukosefu wa shule, mimba za utotoni etc? Huyajui yote hayo au tupange siku nikakutembeze?Kwa sasa Kisarawe kuna uwekezaji mkubwa wa viwanda labda wewe unaizungumzia Kisarawe ya Janguo siyo hii ya Jokate!
Usisahau kutubu wizi wa kura!Miongoni mwa mabasi yaliyokuwa yanawika miaka ile ya 80 ni pamoja na Rombo Investments bus.
Kiukweli nimeshuhudia mabadiliko makubwa hapa Rombo na huu ni uthibitisho kuwa maendeleo hayana vyama....
Hahahaaaa.......!Usisahau kutubu wizi wa kura!