Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,530
Ile hasemehewi! Angekuwa anatumia tundu sahihi hakika Mwenyezi Mungu angemsamehe, ila "wrong hole" haina msamaha, yeye na Aesh makazi yao ni motoniUsisahau kuungama na ile 'dhambi yako pendwa' na weka nadhiri ya kutoitenda tena kwani utakuja kufia nyumba za wageni.
kwani wale mapacha uliojifungua mwezi wa nne wanatembea?Wakati unaniona wewe mwenyewe unakuwa busy na mumeo na hao mapacha wenu?
Hahahaaaa........ Manka umefura!kwani wale mapacha uliojifungua mwezi wa nne wanatembea?
Endelea kuuza papuchi bi-dada. Usisahau kuwauzia na tigo kwa bei ya jumla na rejareja.Wakati unaniona wewe mwenyewe unakuwa busy na mumeo na hao mapacha wenu?
Wewe hapo Ufipa tigo unamuuzia aeshi!!Endelea kuuza papuchi bi-dada. Usisahau kuwauzia na tigo kwa bei ya jumla na rejareja.
Viwanda gani zaidi ya kile kiwanda cha saruji kipo tangu enzi za JK? Vipi kuhusu ukosefu wa maji safi na salama, barabara mbovu, ukosefu wa shule, mimba za utotoni etc? Huyajui yote hayo au tupange siku nikakutembeze?Hahahaaaa.......!
Sasa Halima James Mdee kaiba nini hapo Ufipa mbona mmemfukuza?
Hapana sijafura mama wawiliHahahaaaa........ Manka umefura!
Hahahaaaa.......hahahaaaa...... Halima James Mdee ameiua kabisa Chadema!Hapana sijafura mama wawili
Development has no party!! Big Up Bwasheee!Miongoni mwa mabasi yaliyokuwa yanawika miaka ile ya 80 ni pamoja na Rombo Investments bus.
Kiukweli nimeshuhudia mabadiliko makubwa hapa Rombo na huu ni uthibitisho kuwa maendeleo hayana vyama...
Kabla hujaolewa mzee Halima si alikuwa anakusaga hahahahaHahahaaaa.......hahahaaaa...... Halima James Mdee ameiua kabisa Chadema!
Na mtakunywa mbege mwaka huu.....ruzuku inakwenda Bawacha 19 account hahahaaaa...... hahahaaaa!Kabla hujaolewa mzee Halima si alikuwa anakusaga hahahaha
Naona unamgombania mumeo Mzee Halima mwaka huu utauwana na mke mwenzio BulayaNa mtakunywa mbege mwaka huu.....ruzuku inakwenda Bawacha 19 account hahahaaaa...... hahahaaaa!
Chadema ni mali ya Halima Mdee by Mwita Waitara!
Bila ruzuku Ufipa wote mnaolewa na Halima James Mdee kiboko ya mangi Mtei!
Hongera kaka wewe umetambua role ya mbunge maana siku hizi kila jambo sifa zinamiminika kwa m/kiti tuMiongoni mwa mabasi yaliyokuwa yanawika miaka ile ya 80 ni pamoja na Rombo Investments bus.
Kiukweli nimeshuhudia mabadiliko makubwa hapa Rombo na huu ni uthibitisho kuwa maendeleo hayana vyama
Hongereni mbunge mstaafu mh Selasini, CHADEMA na CCM.
Naendelea kuenjoy sikukuu za mwisho wa mwaka jioni hii nitakuwa pale Kanisani kwa ajili ya kitubio ( ungamo)
Mungu awabariki nyote!
Na hapo ndio hukutajiwa Geita, Ileje, Buharamulo au....! 😀 😀Kisarawe kule kwa akina Kingwendu wa CUF?!!
Rudi kwenu SingidaMiongoni mwa mabasi yaliyokuwa yanawika miaka ile ya 80 ni pamoja na Rombo Investments bus.
Kiukweli nimeshuhudia mabadiliko makubwa hapa Rombo na huu ni uthibitisho kuwa maendeleo hayana vyama
Hongereni mbunge mstaafu Mh Selasini, CHADEMA na CCM.
Naendelea ku-enjoy sikukuu za mwisho wa mwaka jioni hii nitakuwa pale Kanisani kwa ajili ya kitubio (ungamo)
Mungu awabariki nyote!