Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Sina hakika lakini nadhani udaktari wao ni wa heshima kama wale wabunge wetu kule mjengoni.. Hii inaleta uwiano mzuri sasa kwakuwa si lazima uwe mbunge ndio utunukiwe udaktari huo wa heshima.
Napenda kumtambua DR BILGERT
Napenda kumtambua DR HAYA LAND
Napenda kumtambua Dr Lizzy
Napenda kumtambua Dr Matola PhD
Napenda kumtambua Dr. Mariposa
Napenda kumtambua Dr Rutagwerera Sr
Napenda kumtambua Dr Restart
Itifaki imezingatiwa...! Asanteni sana kwa kuitoa JF kimasomaso lakini sio kiroho papo..!
NB: kama nimekuruka ama nimekusahau usiumie tafadhali ni tag nikuongeze kwenye list [emoji1545]