Nawapongeza sana Uhamiaji makao makuu. Dkt Anna P. Makalala kazi yako inaonekana

Mnyakyusa Ipinda

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2020
Posts
439
Reaction score
1,526
Wakuu za wakati huu. Naomba nipongeze uhamiaji makao makuu kwa huduma nzuri wanazotoa kiukweli, yani sikutegemea.

Kiukweli askari wote (au nilokutana nao) wanahuduma nzuri sana, yani wanakuelewesha vizuri pasipoeleweka, wanatabasam na wana lugha nzuri sana na ya kukufanya utake kuuliza zaidi na zaidi, hata wakati wa kuhojiwa yani wanakua tu na msisitizo wa maswali yao lakini sio kwa kufoka foka.

Nilifika ofisi za uhamiaji nikaulizia process na viambatanisho hitajika ili niweze kupata Passport yangu ya kusafiria kwa sababu nimepata kazi huko jirani, nilipokelewa na askari ambae alinipokea vizuri sana na kunihudumia vizuri ambao hata sikutegemea, sababu sehemu nyingi kiukweli kwa experience yangu ambazo wapo askari wa jeshi lolote lile huwa wanakua aggresive na harsh sana sometimes , yani commands na hasira hasira zinatawala. Basi akanieleza viambatanisho na evidence nikarudi home kujichanga nikaanze process, nimejichanga kwa tabu nikaweka thread humu ya kuomba msaada hata kukopeshwa nimalize process ikafutwa mda huo huo.

Nikapata nikarudi tena, kiukweli wako vizuri na ndani ya siku chache tu nimepata passport yangu, tofauti na huko nyuma naona baadhi ya thread huko nyuma zinazungumzia uhamiaji makao makuu vibaya na kucheleweshwa huduma lakini imekua tofauti, nimefurahi sana, na procedure zao ni nzuri na zinaeleweka, yani hata kama kuna rushwa watu wanapokea basi sijui lakini kwa uwazi wa huduma uliopo na uharaka nahisi ni ngumu sana, nimependa tu askari wote wako vizuri katika kuhudumia.

TOFAUTI NA UHAMIAJI ARUSHA - Huku ndo wanatakiwa wajirekebishe, hasa askari wa kike, mwezi wa kwanza nilimsindikiza rafki angu alikua nafatilia jambo lake, yani kuna askari wakike watatu walikuepo hapo kwenye madirisha wanamakasiriko sana, yani wanakufokea wanahasira wamekasirika kasirika, pia huduma zilikua very slow na ndio sababu nilipoona huduma za Uhamiaji makao makuu nikashangaa sababu sikutegemea, nilitegemea ya Arusha. Arusha mjirekebishe na mko slow pia, sijui ni sababu kuna baridi au ni nini, ila kiukweli Uhamiaji kwa sasa mko vizuri ni viupungufu vidogo vidogo tu.

Hongera kwa mkuu wa jeshi la uhamiaji, majeshi mengine (except JWTZ since wana rules zao kali) muige mfano. Nashuru nimemalizana na la passport sasa mniombee nimalizane na la Covid manake 235000 sijui inafikaje nikapime niondoke. God will help lakini naamini.
 
Bila Chanjo huingii Saudia mtajutraa
Ngoja tusubiri kauli ya wizara ya Afya labda wanampango wa kuleta chanjo mbadala, naamini watakubali tu chanjo, mengine yote ni siasa tu is just a matter of time kabla hawajairuhusu chanjo.
 
Hakuna taasisi siipendi kama uhamiaji, yaani pale ni wapiga dili tu. Uhamiaji badala ya kusaidia kutoa passport kwa watanzania wao ndio kwanza wanabania. Cha ajabu wanaijeria na wakenya kibao wanatumia passport ya tanzania walizopata kwa rushwa, hawa wamefanya niichukie hii nchi . Yaani wana masharti utadhani unataka visa ya ujerumani au marekani. Kwanza nikiona thread inahusu uhamiaji nachukia ghafla, passport ni kitambulisho cha uraia ila kwa tanzania masikini ambae hana connection kuipata hawezi.
 
Wakuu za wakati huu. Naomba nipongeze uhamiaji makao makuu kwa huduma nzuri wanazotoa kiukweli, yani sikutegemea.

Kiukweli askari wote (au nilokutana nao) wanahuduma nzuri sana, yani wanakuelewesha vizuri pasipoeleweka, wanatabasam na wana lugha nzuri sana na ya kukufanya utake kuuliza zaidi na zaidi, hata wakati wa kuhojiwa yani wanakua tu na msisitizo wa maswali yao lakini sio kwa kufoka foka.

Nilifika ofisi za uhamiaji nikaulizia process na viambatanisho hitajika ili niweze kupata Passport yangu ya kusafiria kwa sababu nimepata kazi huko jirani, nilipokelewa na askari ambae alinipokea vizuri sana na kunihudumia vizuri ambao hata sikutegemea, sababu sehemu nyingi kiukweli kwa experience yangu ambazo wapo askari wa jeshi lolote lile huwa wanakua aggresive na harsh sana sometimes , yani commands na hasira hasira zinatawala. Basi akanieleza viambatanisho na evidence nikarudi home kujichanga nikaanze process, nimejichanga kwa tabu nikaweka thread humu ya kuomba msaada hata kukopeshwa nimalize process ikafutwa mda huo huo.

Nikapata nikarudi tena, kiukweli wako vizuri na ndani ya siku chache tu nimepata passport yangu, tofauti na huko nyuma naona baadhi ya thread huko nyuma zinazungumzia uhamiaji makao makuu vibaya na kucheleweshwa huduma lakini imekua tofauti, nimefurahi sana, na procedure zao ni nzuri na zinaeleweka, yani hata kama kuna rushwa watu wanapokea basi sijui lakini kwa uwazi wa huduma uliopo na uharaka nahisi ni ngumu sana, nimependa tu askari wote wako vizuri katika kuhudumia.

TOFAUTI NA UHAMIAJI ARUSHA - Huku ndo wanatakiwa wajirekebishe, hasa askari wa kike, mwezi wa kwanza nilimsindikiza rafki angu alikua nafatilia jambo lake, yani kuna askari wakike watatu walikuepo hapo kwenye madirisha wanamakasiriko sana, yani wanakufokea wanahasira wamekasirika kasirika, pia huduma zilikua very slow na ndio sababu nilipoona huduma za Uhamiaji makao makuu nikashangaa sababu sikutegemea, nilitegemea ya Arusha. Arusha mjirekebishe na mko slow pia, sijui ni sababu kuna baridi au ni nini, ila kiukweli Uhamiaji kwa sasa mko vizuri ni viupungufu vidogo vidogo tu.

Hongera kwa mkuu wa jeshi la uhamiaji, majeshi mengine (except JWTZ since wana rules zao kali) muige mfano. Nashuru nimemalizana na la passport sasa mniombee nimalizane na la Covid manake 235000 sijui inafikaje nikapime niondoke. God will help lakini naamini.
Sema Una connection tu , kama huna mtu pale au hujatoa rushwa hupati.
 
Ndugu, yani simjui yoyote pale Mkuu, yani sina hata niliewahi labda kuonana nae mahali, everything was new, ni vile nilikua na evidence zote za Uraia na pia evidence zingine walizohitaji, nadhani shida itakua kwenye vielelezo, kama hauna vielelezo vya kutosha inakua ni changamoto, kama kuna mtu mmoja walimkatalia documents zake sababu aliemuorodhesha kama mama ake baada ya kuhojiwa wakagundua kumbe hata sio mama ake wala hawajuani vya kutosha , ikawa tatizo, nadhani ni issue za vielelezo tu zinaweza kukufabya ucheleweshwe au unyimwe kabisa.
 
Ngoja tusubiri kauli ya wizara ya Afya labda wanampango wa kuleta chanjo mbadala, naamini watakubali tu chanjo, mengine yote ni siasa tu is just a matter of time kabla hawajairuhusu chanjo.

Ukifukizwa pale Muhimbili wanakupa na cheti kuku certify mkuu,hio ndio chanjo mbadala.
 
Kazi inaonekana au ingeonekana Tanzania ingekuwa Kimbilio la Watu wa Mataifa ya Jirani ambao kila Uchao wanazamia tu hapa Kwetu? Una uhakika kuwa Umemsifia ya kweli au Umemsanifu tu Ndugu?
 
Hongera zao uhamiaji maana mpaka mbongo akusifie umefanya Kazi kubwa .
 
Wakuu za wakati huu. Naomba nipongeze uhamiaji makao makuu kwa huduma nzuri wanazotoa kiukweli, yani sikutegemea.

Kiukweli askari wote (au nilokutana nao) wanahuduma nzuri sana, yani wanakuelewesha vizuri pasipoeleweka, wanatabasam na wana lugha nzuri sana na ya kukufanya utake kuuliza zaidi na zaidi, hata wakati wa kuhojiwa yani wanakua tu na msisitizo wa maswali yao lakini sio kwa kufoka foka.

Nilifika ofisi za uhamiaji nikaulizia process na viambatanisho hitajika ili niweze kupata Passport yangu ya kusafiria kwa sababu nimepata kazi huko jirani, nilipokelewa na askari ambae alinipokea vizuri sana na kunihudumia vizuri ambao hata sikutegemea, sababu sehemu nyingi kiukweli kwa experience yangu ambazo wapo askari wa jeshi lolote lile huwa wanakua aggresive na harsh sana sometimes , yani commands na hasira hasira zinatawala. Basi akanieleza viambatanisho na evidence nikarudi home kujichanga nikaanze process, nimejichanga kwa tabu nikaweka thread humu ya kuomba msaada hata kukopeshwa nimalize process ikafutwa mda huo huo.

Nikapata nikarudi tena, kiukweli wako vizuri na ndani ya siku chache tu nimepata passport yangu, tofauti na huko nyuma naona baadhi ya thread huko nyuma zinazungumzia uhamiaji makao makuu vibaya na kucheleweshwa huduma lakini imekua tofauti, nimefurahi sana, na procedure zao ni nzuri na zinaeleweka, yani hata kama kuna rushwa watu wanapokea basi sijui lakini kwa uwazi wa huduma uliopo na uharaka nahisi ni ngumu sana, nimependa tu askari wote wako vizuri katika kuhudumia.

TOFAUTI NA UHAMIAJI ARUSHA - Huku ndo wanatakiwa wajirekebishe, hasa askari wa kike, mwezi wa kwanza nilimsindikiza rafki angu alikua nafatilia jambo lake, yani kuna askari wakike watatu walikuepo hapo kwenye madirisha wanamakasiriko sana, yani wanakufokea wanahasira wamekasirika kasirika, pia huduma zilikua very slow na ndio sababu nilipoona huduma za Uhamiaji makao makuu nikashangaa sababu sikutegemea, nilitegemea ya Arusha. Arusha mjirekebishe na mko slow pia, sijui ni sababu kuna baridi au ni nini, ila kiukweli Uhamiaji kwa sasa mko vizuri ni viupungufu vidogo vidogo tu.

Hongera kwa mkuu wa jeshi la uhamiaji, majeshi mengine (except JWTZ since wana rules zao kali) muige mfano. Nashuru nimemalizana na la passport sasa mniombee nimalizane na la Covid manake 235000 sijui inafikaje nikapime niondoke. God will help lakini naamini.
Mnyakyusa wa Ipinda ( sijui ni talatala au ikulu au tenende ) , chanjo ya corona umepata ?
 
Back
Top Bottom