Nawapongeza sana WCB kwa kutambua kipaji kizuri cha video qeen

simba zee

Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
29
Reaction score
40
Nlikuwa nikitazama vedeo Music ya nyimbo show me kutoka WCB Richi Mavoko akiwa na Harmonize.

Video Queen alie mtumia ni mkali sana na amecheza vizuri sanaa. Pia ni dada anaetambua kazi yake na kuitendea ilivyo stahiki. Tofauti na hawa ma Vedeo queen tuliowazoea Gigy Money na Amber Lulu. Napia hata kuvamiwa na wasanii wa Bongo movie.



Huyu Dada amecheza Video queen vizuri sanaaa. Na pia hata kuonesha uwezo mzuri katika fani yake. Sio unakuta Video queen nyimbo zote hujui kucheza Wala hata kusheki.kutwa kuonesha meno tuu kwenye nyimbo.

Kwa kazi hii najua WCB watakuwa wamemlipa mpunga mzuri kwa Dili zuri na kipaji cha huyu Dada.
 
Mavideo Queens wa Tanzania ni majanga, hakuna hata mmoja wao anayejuwa kucheza. Kwa kweli inahuzunisha sana kuona mtu mzima analazimisha kukata nyongo out of tune, ni haibu!
 
Huyu dada ni vixen maarufu kule bondeni yupo pia kwenye video ya Kcee inaitwa desire pia yupo kwa davido ngoma ya coolest kid in Africa.
 
Hana tofauti kwa picha za uchi kama Gigi money
 
Smahani wimbo mzima katumia nguo hizo tu au maana huo wimbo wala sijauona
 
what are our values as Tanzanians. we live in Tanzania with American values. It's like a fish in the sea with monkey values. Terrible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…