mizarb
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,402
- 1,288
Nlikuwa nikitazama vedeo Music ya nyimbo show me kutoka WCB Richi Mavoko akiwa na Harmonize.
Vedeo Queen alie mtumia ni mkali sana na amecheza vizuri sanaa.
Pia ni dada anaetambua kazi yake na kuitendea ilivyo stahiki.
Tofauti na hawa ma Vedeo queen tulio wazoea gigy money na Amber Lulu.
Napia hata kuvamiawa na wasanii wa Bongo move.
Huyu Dada amecheza Vedeo queen vizuri sanaaa.Napia hata kuonesha uwezo mzuri katika fani yake.
Sio unakuta Vedeo queen nyimbo zote hujui kucheza Wala hata kusheki.kutwa kuonesha meno tuu kwenye nyimbo.
Kwa kazi hii najua WCB watakuwa wame mlipa mpunga mzuri kwa Dili zuri na kipaji cha huyu Dada.
Video.....
Wakaa uchi hawana maana kwenye jamii yetu ya kitanzania.