Nawapongeza sana WCB kwa kutambua kipaji kizuri cha video qeen

Nawapongeza sana WCB kwa kutambua kipaji kizuri cha video qeen

Nlikuwa nikitazama vedeo Music ya nyimbo show me kutoka WCB Richi Mavoko akiwa na Harmonize.
Vedeo Queen alie mtumia ni mkali sana na amecheza vizuri sanaa.
Pia ni dada anaetambua kazi yake na kuitendea ilivyo stahiki.
Tofauti na hawa ma Vedeo queen tulio wazoea gigy money na Amber Lulu.
Napia hata kuvamiawa na wasanii wa Bongo move.

Huyu Dada amecheza Vedeo queen vizuri sanaaa.Napia hata kuonesha uwezo mzuri katika fani yake.
Sio unakuta Vedeo queen nyimbo zote hujui kucheza Wala hata kusheki.kutwa kuonesha meno tuu kwenye nyimbo.

Kwa kazi hii najua WCB watakuwa wame mlipa mpunga mzuri kwa Dili zuri na kipaji cha huyu Dada.

Video.....
Wakaa uchi hawana maana kwenye jamii yetu ya kitanzania.
 
Alipofanya interview alwashangaza watu pale alposema kwa tz msanii anaejua na yy anaemkubali ni ally kiba wakat walkua wanaintro io ngoma ya wasafi
Hayo ni maneno ya kibiashara, anajaribu kumvuta kiba ili angalau labda apate kazi, kama Wasafi ashafanya nao kazi tayari
 
Wametambuaje kipaji chake wakati huyu dada ni Video Queem mkubwa sana ndani ya South Africa?!

Mtu aliefanya kazi na Kcee,Davido,Nasty C anaanzaje kuvumbuliwa kipaji na Harmonise ebooo
 
hiyo video queen yupo ktk coolest kid in africa ya davido mtoto mkaree balaa sio km huyo kakaaa km anakata gogo hapo
 
Hayo ni maneno ya kibiashara, anajaribu kumvuta kiba ili angalau labda apate kazi, kama Wasafi ashafanya nao kazi tayari
Unaniaminsha kufanya kaz na dgo harmoniz ametosheka mpaka asimvute diamond akaona amvute kiba,hmmm[emoji125][emoji6]
 
Alipofanya interview alwashangaza watu pale alposema kwa tz msanii anaejua na yy anaemkubali ni ally kiba wakat walkua wanaintro io ngoma ya wasafi
aliwashangaz kivp sas na akati alikib ni bonge la msanii sema yul dem aliongea tok rohoni hawez kuwa mnafiki
 
Hayo ni maneno ya kibiashara, anajaribu kumvuta kiba ili angalau labda apate kazi, kama Wasafi ashafanya nao kazi tayari
sas atamvuta kibiashar kam hamkubali?meaning anamkubali ndo mana anamvuta aonekane kweny vdeo yake
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Bro sema umedata na huyo mtoto acha kuzunguka mbuyu
 
Back
Top Bottom