Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Naona umejaa misifa tu isiyo na mashiko, meli lina kunguni au itakuwa unaishi nao hao wadudu ndo maana husikii wala huwaoni ukienda mazingira mengine sababu unakuwa kwenye mifugo ileile,We umekomalia kunguni.
Hii meli ni nzuri na kunguni hawamo.
Hata kama wamo, hupaswi kubeza kazi hii nzuri, hili meli lilipaki miaka kadhaa ila Sasa lipo kama jipya kabisa na Lina kasi nzuri.
Na Sasa nimeona wanapanua bandari ya Kemondo,
Mambo ni mazuri.
Serikali ikiongeza meli 1 itakuwa poa zaidi