Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Hakika PONGEZI za Dhati kabisa Ziwaendee Viongozi na Wachezaji wote wa SIMBA kukubali kufungwa na Mlandege ili kuendeleza FURAHA ya Wazanzibar kusheherekea SIKU ya MAPINDUZI .
Kitendo cha kukubali kufungwa licha ya kuwa Simba ilikuwa ina uwezo wa kushinda ni kitendo cha kiungwana kabisa kilichoonyeshwa na SIMBA ili MLANDEGE na Wananchi wa Zanzibar waendelee kusherehekea Sikukuu yao ya MAPINDUZI.
Sio Timu zote zinaweza kufanya maamuzi magumu ya Kuiachia timu pinzani ishinde Kama ilivyofanya SIMBA.Na endapo SIMBA ingekomaa na Kuifunga MLANDEGE wingu la UZUNI lingetawala ZANZIBAR.
Naamini Mlandege na WaZanzibar wote wana furaha sana kwa kuachiwa Washinde
Hongera sana SIMBA huo ndio upendo.
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app