Nawapongeza Simba SC kukubali kufungwa ili kunogesha sherehe za mapinduzi

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2023
Posts
1,483
Reaction score
2,392
Hakika PONGEZI za Dhati kabisa Ziwaendee Viongozi na Wachezaji wote wa SIMBA kukubali kufungwa na Mlandege ili kuendeleza FURAHA ya Wazanzibar kusheherekea SIKU ya MAPINDUZI .

Kitendo cha kukubali kufungwa licha ya kuwa Simba ilikuwa ina uwezo wa kushinda ni kitendo cha kiungwana kabisa kilichoonyeshwa na SIMBA ili MLANDEGE na Wananchi wa Zanzibar waendelee kusherehekea Sikukuu yao ya MAPINDUZI.

Sio Timu zote zinaweza kufanya maamuzi magumu ya Kuiachia timu pinzani ishinde Kama ilivyofanya SIMBA.Na endapo SIMBA ingekomaa na Kuifunga MLANDEGE wingu la UZUNI lingetawala ZANZIBAR.

Naamini Mlandege na WaZanzibar wote wana furaha sana kwa kuachiwa Washinde
Hongera sana SIMBA huo ndio upendo.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Duh! Aisee kweli Rage ana akili!

Mlandege ni timu kali yenye vipaji na morali na wala haikuachiwa, imeshinda kihalali baada ya Simba mbovu kupelekwa fainali na refa!

Wazenj hawakuanzisha mashindano ili waachiwe ubingwa, mara ngapi timu za bara zimeshinda and wako peace and love tu?

Simba hamna timu jipangeni upya acheni kujidanganya, KMC tu iliwashinda pamoja na kupewa penati ya kubebwa na refa!

Simba hii ni mbovu kubalini tu ndo mtatoka mlipo sasa kwenye khamsa za Yanga!
 
Zile jezi Simba walizo print za ubingwa wa Mapinduzi zilikuwa za nii? Kama lengo ilikuwa kuwaachia?
 
Hakika PONGEZI za Dhati kabisa Ziwaendee Viongozi na Wachezaji wote wa SIMBA kukubali kufungwa na Mlandege ili kuendeleza FURAHA ya Wazanzibar kusheherekea SIKU ya MAPINDUZI .

Kitendo cha kukubali kufungwa licha ya kuwa Simba ilikuwa ina uwezo wa kushinda ni kitendo cha kiungwana kabisa kilichoonyeshwa na SIMBA ili MLANDEGE na Wananchi wa Zanzibar waendelee kusherehekea Sikukuu yao ya MAPINDUZI.

Sio Timu zote zinaweza kufanya maamuzi magumu ya Kuiachia timu pinzani ishinde Kama ilivyofanya SIMBA.Na endapo SIMBA ingekomaa na Kuifunga MLANDEGE wingu la UZUNI lingetawala ZANZIBAR.

Naamini Mlandege na WaZanzibar wote wana furaha sana kwa kuachiwa Washinde
Hongera sana SIMBA huo ndio upendo.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Hapa tunapangwa ngoja Mimi nikae pembeni.
 
Rage ajengewe sanamu
 
Walipokea maagizo kutoka kwa samia
 
Pole sana kwa kuliwa
 
Mimi nahisi hii timu itakuwa imepewa bahasha ili kuipa Mlandege ushindi. Haiwezekani timu iliyoifunga Wydad Casablanca ya Morocco, ifungwe kirahisi tu na timu kutoka Zanzibar!!

Nadhani Takukuru wangefanya uchunguzi ili kubaini ukweli. Hawa watakuwa wameuza mechi. Siyo bure.
 
Hakika PONGEZI za Dhati kabisa Ziwaendee Viongozi na Wachezaji wote wa SIMBA kukubali kufungwa na Mlandege ili kuendeleza FURAHA ya Wazanzibar kusheherekea SIKU ya MAPINDUZI .

Kitendo cha kukubali kufungwa licha ya kuwa Simba ilikuwa ina uwezo wa kushinda ni kitendo cha kiungwana kabisa kilichoonyeshwa na SIMBA ili MLANDEGE na Wananchi wa Zanzibar waendelee kusherehekea Sikukuu yao ya MAPINDUZI.

Sio Timu zote zinaweza kufanya maamuzi magumu ya Kuiachia timu pinzani ishinde Kama ilivyofanya SIMBA.Na endapo SIMBA ingekomaa na Kuifunga MLANDEGE wingu la UZUNI lingetawala ZANZIBAR.

Naamini Mlandege na WaZanzibar wote wana furaha sana kwa kuachiwa Washinde
Hongera sana SIMBA huo ndio upendo.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Muandiko kama wa Ahmedi Aly huu!!
Haya tumekusikia tumekufikia.
 
Back
Top Bottom