Ni maeneo gani kwa Dar es Salam TTCL ina internet yenye kasi kubwa sana maana nina GBs kadhaa za kudownload sasa naona TTCL ina bando la 10GB TZS, 10,000 kwa wiki sasa nadhani hili bando litanifaa au halipo tena ttcl? maana nikiwa na laki nina GB zangu 100 si haba zitanisogeza. Kwa kweli hata kama ttcl itakuwa na internet yenye kasi kubwa buza kwa mpalange itabidi niende tu sina namna maana dah bundles zimepanda sana beiHakika nyumbani kumenoga