Nawapongeza wakenya kwenye kujitetea juu ya ongezeko la kodi

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Nimeona hawa vijana wa Kenya wapo tofauti sana na hapa kwetu, Kwenye suala la kulimbikiziwa tozo na kodi hawanong'oni kimya kimya mitandaoni, ni wamechachamaa !!

Wana spirit ya kuhoji vitu, "Inakuwaje Kenya inapokea matrilioni ya misaada kila mwaka na kuomba mikopo yamatrilioni kwajili ya kuleta maendeleo ya kupunguza ukali wa maisha alafu mambo yanakuwa kinyume Serikali hio hio ianze tena kuongeza makali ya maisha kwa kuwaongezea kodi wananchi ?"

Vitu vinavyozungumzwa na vijana ni very critical, Ujasiri wao sio wa kupimwa vitani bali kwenye kupambania haki za kuwletea maendeleo.

Anyway, naombeni ratiba za yanga day na simba day, tetesi za usajili, ligi inaanza lini, Kibu D kasaini mkataba mpya ?, Aziz Ki anabaki au kuondoka ?


Your browser is not able to display this video.
 
Walikataa kutawaliwa, hawatageuka nyuma siyo sisi tunaoambiwa hamieni Burundi kisha tunachekacheka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…