Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Niseme tu mmepata tunu ya kipekee
Binafsi huko nyuma nilikuwa na kitambi
Nikakiachia kweli kweli bila kujua madhara yake kuanzia kiafya mpaka ndoa
Nichukue nafasi hii kumshukuru mke wangu kwa kunihimiza mazoezi na kuacha kula mavyakula yasiiyofaa ikiwemo kuacha pombe
Niseme tu wanawake mlio na wanaume wenye vitambi mbarikiwr sana kwa uvumilivu wenu
Mengineyo....
Ntarudi baada