Nawapongeza wapinzani wetu Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu

Joined
Jun 3, 2014
Posts
63
Reaction score
68
Nipende kuwapongeza wapinzani wetu Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi kuu, kufika fainal shirikisho Afrika. Pamoja na hayo yote msijisahau kua Kuna akina ya maneno, Yaani kwa Sasa Wanaona timu yao NDO yenyewe, mpaka baadhi ya viongozi wameanza kuwaona viongozi wenzao wa timu zingine SI kitu, Ila tujue kua Msimu ujao unakuja.

Wakijiroga kuwaacha wachezaji wafuatao, Mayele, Musonda, Aziz ki, Fei kashaondoka, Diara, Aucho hapo ujue ufalme kwa heri, Sana sana Mayele, ingawa naye amekua mjanja wa kuongea na waandishi wa habari kwa majigambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
na timu yako isajili sasa,hata hao wakiondoka yanga haiwezi kosa ubingwa mbele ya kibu d na sawadogo
 
Aisee sisi sio level zenu. Wapinzani wenu sahivi Namungo, Singida, au Mbeya City.
 
Uzi WA kwanza mbovu kwa mwana msimbazi.

Sijui umeandika nini???????

AIBU NAONA MIMI.

MNAJAZA serva za Jamii Forum bila Huruma.
 
Back
Top Bottom