Elihuruma Lwinga
Member
- Jun 3, 2014
- 63
- 68
Nipende kuwapongeza wapinzani wetu Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi kuu, kufika fainal shirikisho Afrika. Pamoja na hayo yote msijisahau kua Kuna akina ya maneno, Yaani kwa Sasa Wanaona timu yao NDO yenyewe, mpaka baadhi ya viongozi wameanza kuwaona viongozi wenzao wa timu zingine SI kitu, Ila tujue kua Msimu ujao unakuja.
Wakijiroga kuwaacha wachezaji wafuatao, Mayele, Musonda, Aziz ki, Fei kashaondoka, Diara, Aucho hapo ujue ufalme kwa heri, Sana sana Mayele, ingawa naye amekua mjanja wa kuongea na waandishi wa habari kwa majigambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]