Nawapongeza wasanii waunga mabadiliko Tanzania

Dr.Mo

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
3,809
Reaction score
1,649
Niwapongeze wasanii Aunt Ezekiel, Jackie Wolper, Shamsa ford na Nay wa mitego kwa kuunga mkono mabadiliko katika nchi yetu.

Si jambo ndogo kuacha rushwa na vitisho vya CCM na kuunga mkono mabadiliko, inahitaji uwe strong, uwe mvumilivu, ukubali kuona wasanii wenzako wakimwagiwa marushwa na ahadi za uongo kedekede ili majizi yarudi tena madarakani.


Natoa wito kwa wasanii wengine kuunga mkono mabadiliko na kuisaidia nchi yetu pendwa Tanzania.Hao ambao wamesaliti wasanii wenzao na watanzania kwa kuwaunga majizi ambayo yamewaibia na kupora haki za wasanii na watanzania kwa ujumla kwa miaka 50 ni wakupigwa chini, Historiaitawahukumu.

Nitoe tena heko kwa Jackie Wolper, Shamsa, Aunt na Nay.
 
hata Mimi nimewakubali siyo kama Yale mengine manaume mazima mitumboo hiyoo!Hawa Mungu atakuwa upande wao daima dumu
 

Mkuu umewasahau KALA na ROMA MKATOLIKI.
 
Bila kumsahau Shamsa Ford, Chuchu Hans na Auntie Ezekiel.
 
Bila kumsahau Afande Sele, mzalendo wa kweli.
 
bila kumsahau mdau wa we2 msanii wa kmataifa kosa yey kuutangaza mziiki ktk nchi za nadhan TZ tungekua wapi kama si WCB.
 
Nawapongeza kwa kusimamia mabadiliko ya kweli kwa nchi yetu na hawakua wanafiki
 
wew jamaa wacha upuuzi wasanii ni wafanya biashara wanaangalia upande upi unalipa sasa iweje NAY asijimaliza kimuziki kisa yupo ukawa alafu diamond ajimalize kimuziki kisa yupo CCM fikiri kikubwa ww siasa peleka jukwaa la siasa
 
wasanii wanaangalia fursa wew SIASA zingekuwa azikulipi usingepiga kelele ukatoka povu wacha wasanii wapige pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…