Dr.Mo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 3,809
- 1,649
Niwapongeze wasanii Aunt Ezekiel, Jackie Wolper, Shamsa ford na Nay wa mitego kwa kuunga mkono mabadiliko katika nchi yetu.
Si jambo ndogo kuacha rushwa na vitisho vya CCM na kuunga mkono mabadiliko, inahitaji uwe strong, uwe mvumilivu, ukubali kuona wasanii wenzako wakimwagiwa marushwa na ahadi za uongo kedekede ili majizi yarudi tena madarakani.
Natoa wito kwa wasanii wengine kuunga mkono mabadiliko na kuisaidia nchi yetu pendwa Tanzania.Hao ambao wamesaliti wasanii wenzao na watanzania kwa kuwaunga majizi ambayo yamewaibia na kupora haki za wasanii na watanzania kwa ujumla kwa miaka 50 ni wakupigwa chini, Historiaitawahukumu.
Nitoe tena heko kwa Jackie Wolper, Shamsa, Aunt na Nay.