NABII MTARAJIWA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 425
- 609
Ila usiwe Mwamposa tu.Hadi hadi! Mimi ni mgeni humu ijapokuwa nimekuwa naangalia kwa mbali yale yanayojadiliwa humu. Nimeamua sasa kujiunga ili pia niweze kuchangia mada na kutoa mada pia.
Kama jina langu linavyosomeka basi mtazamie nondo za Neno la Mungu.
Wewe ndiye kiboko ya wachawi ?Hadi hadi! Mimi ni mgeni humu ijapokuwa nimekuwa naangalia kwa mbali yale yanayojadiliwa humu. Nimeamua sasa kujiunga ili pia niweze kuchangia mada na kutoa mada pia.
Kama jina langu linavyosomeka basi mtazamie nondo za Neno la Mungu.