Nawasalimu Wasichana na Wanawake!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] salamu zimefika mkuu[emoji114][emoji114]
Nawasalimia wale wavulana hata wakiombwa buku wana Sreenshort au kukimbilia kuanzisha mada nawakumbusha hatuachi kuomba mtaanzisha mada mikono iote sugu.
 
Nawasalimu wadada wote warembo ambao wapo single na wapo chini ya umri wa miaka 25, nawaambia waje tuondoe huo usingle.
 
Yaani nioe veterani, kashatumika weeeee, then haje kwangu,
Hapana hiyo injini itakuwa imeshachoka, gari itakuja kulipuka,
Sa huyo unayemtaka kwa sasa utatumia nguvu nyingi saana kumpata coz saiv ni hot cake.

Ila SUBIRA YAVUTA KHERI mpe 4 yrs to come anakuja mwenyeeeeewe[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Sio dharau, ni ukweli huu labda huyo wa 30 aolewe na mzee,
Na hao wa 20 - 25 hawajitokezi kwasababu wengine wanaogopa kuwa kwenye hadhara ya jamii...

We fikiria Jf ina members elfu 49+, je wanakosekana hao wa 20 - 25
Hizo sasa dharau aisee ole wako waje?

Ushaona binti wa 20-25 kwenye LOVE CONNECT akitafuta mchumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…