Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mtandaoni hamuwezi kuvaa pete kaka yangu
Nawasalimu wavulana/wanaume wote ambao wanatafuta sifa kwa wanawake waonekane wana uwenzo nawaambia tumewashtukia [emoji12]
Nawasalimia wale wavulana hata wakiombwa buku wana Sreenshort au kukimbilia kuanzisha mada nawakumbusha hatuachi kuomba mtaanzisha mada mikono iote sugu.
Nakazia 🔨🔨Nawasalimu wakaka wote ambao mtandaoni wako single ila mtaani wana wake wanne. Wake zenu ni mashoga zetu
Nakazia [emoji375][emoji375]
Sasa michepuko na mke huoni kuna utofauti hapo.Acheni uwongo.[emoji6][emoji6][emoji6] hata nyia mna michepuko yenu mkitongozwa hamsemi ukweli[emoji57][emoji57]
Sasa michepuko na mke huoni kuna utofauti hapo.Acheni uwongo.
Nawasalimu wadada wote warembo ambao wapo single na wapo chini ya umri wa miaka 25, nawaambia waje tuondoe huo usingle.
Sioi wa 30, sababu atakuwa amechoka kiongozi...Watakuja wakikaribia 30 saivi wanaponda raha kwanza
Sioi wa 30, sababu atakuwa amechoka kiongozi...
Sa huyo unayemtaka kwa sasa utatumia nguvu nyingi saana kumpata coz saiv ni hot cake.
Ila SUBIRA YAVUTA KHERI mpe 4 yrs to come anakuja mwenyeeeeewe[emoji1][emoji1][emoji1]
Hizo sasa dharau aisee ole wako waje?Yaani nioe veterani, kashatumika weeeee, then haje kwangu,
Hapana hiyo injini itakuwa imeshachoka, gari itakuja kulipuka,
Salam zangu ziemfikie
Queen of my soul,
My lovely wife to be,
Aliyenishikia pumzi yangu,
Anayenipa raha,
Mahabuba
Khantwe.
Hizo sasa dharau aisee ole wako waje?
Ushaona binti wa 20-25 kwenye LOVE CONNECT akitafuta mchumba?
Mkuu tafadhali usinifukuzie njiwa wangu, nimetumia kama robo karne kumpataAnajua kama una mke?
Acha tu mkuu waga nanung'unika sana.Aisee nouma sana aisee hawataki viben10[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]