EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #41
Mkuu tafadhali usinifukuzie njiwa wangu, nimetumia kama robo karne kumpata
Sio dharau, ni ukweli huu labda huyo wa 30 aolewe na mzee,
Na hao wa 20 - 25 hawajitokezi kwasababu wengine wanaogopa kuwa kwenye hadhara ya jamii...
We fikiria Jf ina members elfu 49+, je wanakosekana hao wa 20 - 25
Leo mmeona bora mchambane tu
Salamu zako nimezipata we kuku, kila mtu anatamani kitu ambacho hana
Hahaha we mbuni mbona mimba hamna lakini hamtamani kuzipata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] salamu ziwafikie na ziwapate
Ukimtoa out anaagiza bia za nje
Savana. Haenken. Windhook
Wakiwa wenyee wanakunywa balimi na plizna king
We bundi kweli sasa mimba itakupa kula?
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]dahNawasalimu wakaka wote ambao mtandaoni wako single ila mtaani wana wake wanne. Wake zenu ni mashoga zetu
Inabidi niwasalimie wanawake wote wa JF ambao hawajaolewa; walioolewa watasalimiwa na waume zao tu.
Dah...nawasalimu wasichana/wanawake wote kwa heshima kuu....bila ninyi wanaume tungekuwa wavivu sana...[emoji41]
Nawasalimu wakaka wote ambao wanajishaua kutafuta wadada wenye chura wakat dada zao wamepigwa pasi
Nawasalimu wadada wote mlionipiga kibuti humu...Mungu anawaona
Sasa unataka tuagize maharage wakati nyumbani tumeyaacha.?Nawasalimia wasichana wote ambao wakitolewa out wanaagiza kuku mzima na bia wakati kwao wanagombaniana sufuria za maharage.
Nawaambia sura kama cherehani mbovu qudadadeq zenu.
Nawasalimia pia wasichana wote wanaopenda wanaume wenye magari wakati baba zao hawana hata baiskeli mbovu
Nawaambia mbuni nyie kueni wapole kama mama zenu.
Naona umetoa povu konkiNawasalimu wakaka wote ambao mtandaoni wako single ila mtaani wana wake wanne. Wake zenu ni mashoga zetu
Sasa si anataka ukoo ubadilike maana ye hana vinasaba vya [emoji196]
Hahahah