Nawasalimu Wasichana na Wanawake!

Nawasalimu Wasichana na Wanawake!

Wapo ila wanakula ujana kwanza kuolewa baadae saivi ukiwataka uwe njema saana mfukoni
Sio dharau, ni ukweli huu labda huyo wa 30 aolewe na mzee,
Na hao wa 20 - 25 hawajitokezi kwasababu wengine wanaogopa kuwa kwenye hadhara ya jamii...

We fikiria Jf ina members elfu 49+, je wanakosekana hao wa 20 - 25
 
Inabidi niwasalimie wanawake wote wa JF ambao hawajaolewa; walioolewa watasalimiwa na waume zao tu.
 
Nawasalimia wasichana wote ambao wakitolewa out wanaagiza kuku mzima na bia wakati kwao wanagombaniana sufuria za maharage.
Nawaambia sura kama cherehani mbovu qudadadeq zenu.

Nawasalimia pia wasichana wote wanaopenda wanaume wenye magari wakati baba zao hawana hata baiskeli mbovu
Nawaambia mbuni nyie kueni wapole kama mama zenu.
Sasa unataka tuagize maharage wakati nyumbani tumeyaacha.?
 
Back
Top Bottom