Nawasalimu Wasichana na Wanawake!

Nawasalimu Wasichana na Wanawake!

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
*Nawasalimia [emoji68]WASICHANA na WANAWAKE [emoji70]wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*_

_*Nawasalimia WANAWAKE na WASICHANA weupe [emoji70]mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI,*_

_*Nawasalimia WASICHANA Ninao watumia TEXT wanazijibu kwa NYODO mfano[emoji106] P,K,O,S!! Mimi nilishaoa [emoji23]

_*Nawasalimia WASICHANA wale Wanao kuomba URAFIKI FB halafu ukianzisha Chating wanakuuliza wew NANI[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi ni Nyani kutoka Mikumi,*_

_*Nawasalimia WASICHANA wale Wanaopst picha ukiccoment Anareply ukimfata inbox Anauchuna ila ukitaja helaa Anakujibu kama UMEME WA LUKU Hamjambo jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*

_*Nawasalimia Wale WASICHANA mnaonichunia MITANDAONI ila Tukikutana MTAANI Mnaniita ita kama mnanijua[emoji23][emoji23][emoji23] PLEASE NIPENI BREAK,*_

_*Nawasalimia WASICHANA Ambao ni wacha MUNGU mitandaoni ila nje Ni wauza MIILI, Salamu Ziwafikie[emoji23][emoji23][emoji23]*_

_*Nawasalimia wale WASICHANA mnaosema hakuna TRUE LOVE mitandaoni hali ya kuwa Mkiombwa No za Simu Mnatoa, KARIBUNI CHAI ya usiku[emoji3][emoji3][emoji3]*_

_*Nawasalimia Wale WASICHANA mliotongozwa MTANDAONI nampaka sasa hamjawahi kuonana na hao waliowatongoza,nawapa hi kwa hisani ya Pierre Liquid [emoji28]

_*Nawasalimia wale WASICHANA woteee mliokimbia SHULE ila MTANDAONI wameandika wamesomea UDSM, IFM, CBE, SAUT NA UDOM nawakumbusha NAWAKUMBUSHA, MUNGU ANAWAONA*_ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

_*Nawasalimia wale WASICHANA na WANAWAKE ukichart nao wanakujibu kwa KINGEREZA ila ukimtukana Anakujibu kwa KISWAHILI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muoneni Ras Simba*_

_*Nawasalimia wale WASICHANA mnaojiita CUTE, PRINCESS PREATY, CANDY kumbe mtaani unaitwa Bupe, Sikujua, Havinitishi, Ngolo[emoji23][emoji23][emoji23] WAZAZI WENU WANAWATAFUTA,*_

_*Nawasalimu WASICHANA mnao TONGOZWA mtandaoni kisha mnasema Mtumiwe NAULI, Badilisheni Mbinu VYUMA VIMEKAZA!!*,shenzi zenu [emoji47]

Kuna wasichana na WANAWAKE watasoma salamu hizi lakin watatoka bila kukoment hapa,acha roho mbaya wewe [emoji23][emoji23],nakuona tu .
 
Mimi hoi..Nawasalimia ma'manzi wanaonifata PM kuniuliza nna umri gani na kazi gani?nikiwaambia ni mwanafunzi na niko below24 maskini ya Mungu hawanijibu tena text zangu,nawaambia Wanywe maziwa ntalipa
 
Nawasalimia wasichana wote ambao wakitolewa out wanaagiza kuku mzima na bia wakati kwao wanagombaniana sufuria za maharage.
Nawaambia sura kama cherehani mbovu qudadadeq zenu.

Nawasalimia pia wasichana wote wanaopenda wanaume wenye magari wakati baba zao hawana hata baiskeli mbovu
Nawaambia mbuni nyie kueni wapole kama mama zenu.
 
Salamu zako nimezipata we kuku, kila mtu anatamani kitu ambacho hana
 
Nawasalim wanawake wote ambao mpaka Leo hamjaachika kwenye ndoa zenu mnakaa kusutwa sutwa Na waume zenu nawaambia njooni kwenye usingle mother kumenoga huku tunahitaji sampuli hii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeoshwa na wewe
nawasalimu mademu wote niliowatoa bikra, kwa taarifa zenu ni kwamba sasa nimeoa mwanamke aliyetolewa bikra na mwanaume mwingine.
 
Duh sasa mtawaua na njaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawasalimia mademu wote wanaoenda dukani wanajishebedua ili uwatongoze...kwa taarifa hapa kazi tuu kutongoza waachie wanafunzi wa colleg
 
Aisee nouma sana aisee hawataki viben10[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mimi hoi..Nawasalimia ma'manzi wanaonifata PM kuniuliza nna umri gani na kazi gani?nikiwaambia ni mwanafunzi na niko below24 maskini ya Mungu hawanijibu tena text zangu,nawaambia Wanywe maziwa ntalipa
 
Hapo wanapookoa ndoa za watu wengi fafanua mkuu[emoji52][emoji52]
Nawasalimu Wanawake wote wauza papa(miili yao) mtandaon, Nawataarifu tu mnaokoa ndoa za watu wengi sana, ila jaribuni kushusha bei vyuma vimekaza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] salamu ziwafikie na ziwapate

Ukimtoa out anaagiza bia za nje
Savana. Haenken. Windhook

Wakiwa wenyee wanakunywa balimi na plizna king

Back
Top Bottom