Nawasalimu Wasichana na Wanawake!

Nawasalimu Wasichana na Wanawake!

[emoji23][emoji23][emoji23] waache wakule cha muhimu wawe wanatuma na ya kutolea sio wanatupa zambi na bado wanatukopa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natuma salamu kwa wavulana na wanaume wote wanaotongoza kwa meseji,

ujumbe; acheni udomo zege, omba namba kisha weka appointment kwenye 5stars hotel.
Mwanamke mzuri ni yule wa kukutana uswahilini...[emoji41][emoji41]
 
Write your reply...nawasalimia wadada wote wenye chura na soft face nyie wenye pasii na sura za baba zenu mtasalimiwa na kaka zenu huko nyumban kwenu

[emoji41] [emoji41] [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natuma salamu kwa wavulana na wanaume wote wanaotongoza kwa meseji,

ujumbe; acheni udomo zege, omba namba kisha weka appointment kwenye 5stars hotel.
Meseji ndo kila kitu ukiitwa hotelini ni kutoa huduma tu sio kutongozana
 
Back
Top Bottom