Jifurahishe, make imeuma sana, nyie mlivyo kuwa mmepania kuifunga na kusema kuwa mmezoea kuwafunga, endeleeni kubadilisha misemo tu.Wasalaam!!!
Inawezekaneje:
1.Kumpiga mait harafu ujitape kuwa wew Ni shujaa???
2.Kumpiga mtoto wa chekechea harafu ujidai kuwa wew Ni mwamba??
3.Kumpiga na bunduki mtu Mwenye gobole harafu ujitape kuwa wew Ni shujaa???
•Ndugu Wana Simba Yanga sio level yenu.
•Level yenu Ni akina Raja,Wydad hao mkiwafunga ndo mshangilie
•Rank za CAF zinaonesha kuwa Simba ni moja ya timu bora Sana barani Africa,lakin Yanga hata hawaifaham. Ukweli ndo huo
Nawasilisha
Unataka watoe miiko nyuma wakupige nayo😂😂Wasalaam!!!
Inawezekaneje:
1.Kumpiga mait harafu ujitape kuwa wew Ni shujaa???
2.Kumpiga mtoto wa chekechea harafu ujidai kuwa wew Ni mwamba??
3.Kumpiga na bunduki mtu Mwenye gobole harafu ujitape kuwa wew Ni shujaa???
•Ndugu Wana Simba Yanga sio level yenu.
•Level yenu Ni akina Raja,Wydad hao mkiwafunga ndo mshangilie
•Rank za CAF zinaonesha kuwa Simba ni moja ya timu bora Sana barani Africa,lakin Yanga hata hawaifaham. Ukweli ndo huo
Nawasilisha
Hizi zinafanya mpka nyapu unatoa povu zitoIkiuma chomoa maana 2 zakuunga sio kitoto
Aisee!View attachment 2591366
Acha makasiriko
Hata sijui kwann nimefungua huu utumbo ulioozaWasalaam!!!
Inawezekaneje:
1.Kumpiga mait harafu ujitape kuwa wew Ni shujaa???
2.Kumpiga mtoto wa chekechea harafu ujidai kuwa wew Ni mwamba??
3.Kumpiga na bunduki mtu Mwenye gobole harafu ujitape kuwa wew Ni shujaa???
•Ndugu Wana Simba Yanga sio level yenu.
•Level yenu Ni akina Raja,Wydad hao mkiwafunga ndo mshangilie
•Rank za CAF zinaonesha kuwa Simba ni moja ya timu bora Sana barani Africa,lakin Yanga hata hawaifaham. Ukweli ndo huo
Nawasilisha
Nikuagizie sprite yenye ka limao kwa mbali upotezee kichefu chefuHata sijui kwann nimefungua huu utumbo uliooza
Mimi mnyama wewe jiangalieeeeeNa wew ni miongon mwa waliozimia tangu Jana eee?? Vp maumivu yameisha??
ItapendezaNikuagizie sprite yenye ka limao kwa mbali upotezee kichefu chefu
Uto kapakatwaView attachment 2591366
Acha makasiriko
Tatizo hao manyani tulicheka nao muda mrefu, ole wao wameingia 18 za mnyama kawaralua. Lazima watu washangilie kero yao kutatuliwa.Wasalaam!!!
Inawezekaneje:
1.Kumpiga mait harafu ujitape kuwa wew Ni shujaa???
2.Kumpiga mtoto wa chekechea harafu ujidai kuwa wew Ni mwamba??
3.Kumpiga na bunduki mtu Mwenye gobole harafu ujitape kuwa wew Ni shujaa???
•Ndugu Wana Simba Yanga sio level yenu.
•Level yenu Ni akina Raja,Wydad hao mkiwafunga ndo mshangilie
•Rank za CAF zinaonesha kuwa Simba ni moja ya timu bora Sana barani Africa,lakin Yanga hata hawaifaham. Ukweli ndo huo
Nawasilisha
Njaa itawaua wala mihogo. Hakikisheni mnakula mihogo yenu ndipo muangalie hiz derby. Uto wengi walikata moto hadi baadae wanazinduka ndio hivo tena.Na wew ni miongon mwa waliozimia tangu Jana eee?? Vp maumivu yameisha??