44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Wasalaam!!!
Inawezekaneje:
1.Kumpiga mait harafu ujitape kuwa wew Ni shujaa???
2.Kumpiga mtoto wa chekechea harafu ujidai kuwa wew Ni mwamba??
3.Kumpiga na bunduki mtu Mwenye gobole harafu ujitape kuwa wew Ni shujaa???
•Ndugu Wana Simba Yanga sio level yenu.
•Level yenu Ni akina Raja,Wydad hao mkiwafunga ndo mshangilie
•Rank za CAF zinaonesha kuwa Simba ni moja ya timu bora Sana barani Africa,lakin Yanga hata hawaifaham. Ukweli ndo huo
Nawasilisha