Nawashangaa mashabiki wa Simba. Mechi ya yanga tutakula 5 kwa huyu mzungu

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nikiri lile tusi mbumbumbu ni kama nalielewa sana kwa sasa.

Wakati wanabadili mwalimu timu ikiwa inafanya vizuri wengine tulipiga kelele.Binafsi nilipiga kelele kwa Mo kuleta mzungu kama mwalimu.

Si kwamba nawachukia wazungu, ila ni mtu asiye na akili pekee anaeweza kuamini kocha anaweza kuleta mabadiliko ya siku 2 na timu ikafanya vizuri.

Kocha yoyote hata akiwa mzuri,anapopewa timu ni lazima ihangaike sana hadi kuupata mfumo sahihi labda kama anawajua vyema wachezaji.

Katika jicho la kawaida tu, kwa mwalimu hata wa stand united hawezi kumchezesha Boko dakika zote hizi.Huyu Boko hata ukimpeleka Ihefu, atakalia benchi.Unamwachaje Baleke nje?

Unamwachaje Phiri nje na unampa nafasi Sakho anayefanya maskhara tu kila wakati?

Mashabiki mlimshabikia sana mzungu na mkampa uenyekiti kwa Mara nyingine mangungo.

Mechi ya yanga tutachezea koki na tutalowa.

Ni kuzoea tu ukweli
 
Mnamlaumu tu kocha, tatizo wachezaji wanamroga sana kocha, club inaroga wachezaji, wachezaji wanamroga kocha, yaani vurugu tupu.

Hapo mwenye mganga mzuri ndo anacheza, kama una hawa waganga wa guest house imekula kwako hupangwi.
 
Mnamlaumu tu kocha, tatizo wachezaji wanamroga sana kocha, club inaroga wachezaji, wachezaji wanamroga kocha, yaani vurugu tupu.

Hapo mwenye mganga mzuri ndnacheza, kama una hawa waganga wa guest house imekula kwako hupangwi.
Hahahah

Mleta mada unachosema mimi naona tofauti. Siku za hivi karibuni, Simba atamkung'uta Yanga mkono mzima kwa wachezaji hawahawa.

Simba inahitaji tu kupanga safu sahihi ya wachezaji ili kupata matokeo mazuri. Niwekee pale mbele Phiri, Saido na Sakho watokee benchi, Bocco asiwepo hata uwanjani, Mohamed Hussein apumzike na ikiwezekana asicheze niwekee Mwenda nafasi yake, Sawadogo atokee benchi. Nipe kikosi hicho halafu njoo tuongee.
 
Wakati wa Mgunda mlikuwa mnamkejeli kuwa siri ya ushindi wa Simba ni jeans anazovaa.

Mimi nasema shida moja kubwa ya Simba ukiacha ubora wa wachezaji ni kachumbari ya wachezaji wasiotoka katika tamaduni zinazofanana ikiwemo lugha halafu tena unamleta kocha ambaye hata English yake siyo nzuri. Mawasiliano hayawezi kuwa mazuri au myepesi na ufundishaji unakuwa mgumu sana.

Hilo jambo hata kocha wa Orlando Pirates aliwahi kulikejeli.
 
Mnamlaumu tu kocha, tatizo wachezaji wanamroga sana kocha, club inaroga wachezaji, wachezaji wanamroga kocha, yaani vurugu tupu.

Hapo mwenye mganga mzuri ndo anacheza, kama una hawa waganga wa guest house imekula kwako hupangwi.
Hizi imani tumechoka nazo.
Hao wachawi wenu mbona hawaleti matokeo kila mkicheza na utopolo?
 
Simba imeshatoka kuumia kufungwa Nbc, level za Simba nikupigania ubingwa wa Caf na sio Nbc, hata ikifungwa focus yake ni caf msotutoe kwenye reli. Alisikika mmbuya unga mmoja πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸƒ
 
Jaman yanga mbovu ya Zahera ilkua inamkalisha kolo. Usishangae kolo kumkalisha yanga kwenye derby. Pale unawahiwa alafu kocha anaswitch game kidogo ngoma inaisha.

Kwenye ngao kolo alkua na uwezo wa ku switch game akaimaliza sema ana sifa sana anabaki na mfumo uleule ili tu acheze biriani. Ndo maana anakangwa kila mara. Kolo hua ana nafasi kubwa sana ya kushinda derby sema sifa zinamzidi.
 
Kama yanga alishindwa kutufunga mechi ya mwanza hatuna key players 7 Sasa ije iwe nyie ndo mashabiki maandazi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…